Acheni wivu nyie mbona wakati wa magufuli nae aliweka wapiga dili wake kama huyo kakoko?Mie naona arudishe tu watu wale wale kama vipi kila mtu achukue chake basi maisha yaendelee...
Naona anarudisha wale watu waliotengemeza mianya ya kupiga madili...
Msigwa kapandishwa cheo. Hongera!
Tumfanye mboga ya kesho 😹😹😹Huyu wa TCRA tukabidhiwe wananchi wenye hasira kali
Wakuu wa mikoa pia wasubiri kidogo
Sitaki kuamini ni huyu, inaweza kuwa kuna mwengine mwenye majina yanayofanana
Duh mkuu THE BIG SHOW hahahaha upepo wa Magufuli ulikusukimizia wapi mkuu nikahisi mmetwaliwa katika maisha haya!Ma.tako mwenyewe
Kama mtu mmoja kaongea upuuz ndiyo ikufanye ukashifu kundi zima lisilo husika??
Mchele mchele ww...
Hiyo inaitwa "Kimbiza mwizi kimya kimya" hapo ni kama mnataka mkimkamata mnamchoma moto [emoji91][emoji91] kabisa.Kapelekwa viwanda na biashara, pole
Sitaki kuamini kama huyu ndo mbadala wa Mataragio pale TPDCTPDC Tanzania Petroleum Development Corporation inafanya kazi na makampuni makubwa ya kimataifa ya Norway, France, Qatar, USA , UK , The Netherlands n.k yanayojihusisha utafiti wa gesi na mafuta, uchimbaji, uuzaji pia usambazaji.
Ni uzi mzuri kutaka kufahamu mapito ya CEO wa TPDC aliyeteuliwa kuona kama anatosha katika nafasi hiyo iliyo ktk sekta nyeti.
Alichoongea Thobias Mwesiga Richard baada ya kuukosa Uwenyekiti UVCCM
11 Dec 2017
Baada ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana UVCCM kumalizika, aliekuwa Mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa UVCCM Taifa Thobias Mwesiga Richard amekutana na Waandishi wa Habari Dodoma na kuzungumza anayohitaji yafanyiwe kazi.
Kweli jamaa huyu hana kaliba ya kuongoza taasisi hiyo. Mama samia asianze politics kwenye nafasi nyeti kwa taiafa kama hizi. Ana haki ya kuteua watu wake lakini afanye teuzi hio kwa makini bila kuendeshwa na siasa sana.Hiyo CV yake mbona imekaa vibaya au ndo miccm kupeana tonge with unqualified Criterion
Nasubiria sasa list ifuatayo
1: RCs
2: Mabalozi
3: RAS
4: DCs
5: DAS
6: DEDs
Yaani hapo serikali itakaa safi kabisa.. Watu wenye sifa sifa kama Chalamila, Sabaya & wenye similar worst behaviours, wajiandae tu mapema. Huwezi kuwa na watu wa ajabu ajabu katika utumishi wa umma kama hao.
Kubadilika yatabadilika kweli, tegemea mfumo wa haki kuhujumiwa zaidi maana ndiko tunakoelekea!Viongozi walioko juu hasa Rais ndio mwanga au giza kwenye maisha yako ya kila siku hata ujibidue vip wakiwa wabovu hauwezi kufanikiwa, kwahiyo ipo sababu za kushangilia au kununa kutoka na uteuzi uliofanywa, kama unadhani kufuatilia hakuna maana subiri uone maisha yatavyobadirika kwa hali yoyote ile hayatafanana na ya JPM, yaweza kuwa mazuri au mabaya ila matarajio yetu tuliowengi ni yawe mazuri.
Mama anafata Sheria. Hawezi kumwondoa mtu bila uchunguzi kufanyikatulisema hawa watu hawafai mkabisha. Doto alitakiwa kuwa jela muda huu