Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa Ikulu, Dotto James ahamishwa. TPA, TCRA na TRA zapata wakuu wapya

Naona bado anasoma PhD. Sijui ana uzoefu upi wa kazi nje ya UVCCM.

View attachment 1743670
Exposure hakuna, kazi Tanzania hajafanya ktk sekta ya mafuta wala kusoma angalau level moja nje ya nchi au kufanya kazi muda mfupi nje ya nchi.

Hivi kweli huyu anaweza kukabiliana na wakurugenzi au wajumbe wa bodi za makampuni makubwa ya mabeberu wa Marekani ya Kaskazini, Ulaya, Russia na Arabuni na kuweza kutengeneza dili za kuifaidisha Tanzania au hata kumpa ushauri waziri au Rais wa Tanzania ushauri muafaka!

Hata kanisa la Anglican liliona umuhimu wa Askofu wake mkuu kuwa na uzoefu wa ma-dili. https://www.nairaland.com/4450245/justin-welby-nigerias-oil-archbishop

www.ft.com › content
Justin Welby: Oilman with a new calling | Financial Times
9 Nov 2012 — Here was a biblical scholar who had spent the first 11 years of his career in the oil industry: an archbishop for the
 
Tanzania kuna fitna na majungu Sana. Yaani unatengenezewa kashfa mpaka watu wanaamini ni kweli. Kumbe chuki binafsi tu. Mimi nilishafanyiwa fitna, nikatengenezewa chuki ambayo ilisababisha Mimi kupoteza mali yangu yote. Mpaka SASA imeathiri hali yangu ya uchumi na maisha.
WATU WAELEWE RAISI NI TAASIS. HAWEZ KUFANYA KAZI KWA MIHEMKO AMA TAARIFA ZA MITANDAONI. MH. RAISI ANA TAARIFA SAHIHI KUMUHUSU DOTTO KULIKO MTU YEYOTE YULE. RAISI HAWEZ PANGIWA KUFANYA TEUZI ZAKE NA WHISTLE BLOWERS.
 
Exactly my thoughts. Labda hii ni kuonesha kwamba hawajali tena kuhusu kuzalisha na kuuza hiyo gesi. Labda tumeridhika na matumizi ya sasa.
 
Watakaokuelewa ni wachache.Umeongea jambo la muhimu sana ndugu yangu
 
Mchembe Out. Ila Mama Samia naona alichukia sana Mchembe kuficha kifo cha Magufuli. Doto nae kaponea chupuchupu.
Hivi Dr Nzuki katibumkuu wa wizara ya mali asili na utalii yupo
 
Kama kweli hii ndio CV ya bosi wa TPDC mpya Mama chutama, uungwana vitendo hapa umeingizwa chaka...

Oil and Gas ni chaka hatari sana lenye watu wenye akili sana duniani...kukaa mezani na hao watu unahitaji watu smart wanaoijua dunia na wenye elimu zilizonyooka sio za kuungaunga.

Huyu kijana hatoshi, umedanganywa mama rudi mezani ikiwezakana mrudishe Mataragio na umpe full support..
 
Mwanza, Tanzania


Erick Benedict Hamisi alikuwa Afisa mtendaji mkuu Kampuni ya Huduma za meli MSCL kabla ya kuhamishiwa kuwa mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania TPA.
 
29 Oct 2020

Shell CEO Ben van Beurden and Shell CFO Jessica Uhl on Q3 2020 results | Investor Relations

Ben van Beurden, Chief Executive Officer of Royal Dutch Shell plc, and Jessica Uhl, Chief Financial Officer at Royal Dutch Shell plc, commenting on the third quarter 2020 results, setting out Shell as a compelling investment case.
Source : shell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…