Dr wa Rais.Mchembe alikuwa Nani mpaka akaweza kuficha kifo cha Rais wa nchi
Nafikiri mpaka muda utakuwa umeshapata jibu kwanini tuliomba CV ya yule mteule asiekuwa na sifaNyie binadamu mnaoomba CV za watu hivi huwa mnaenda kuzifanyia nini?
CV ya mtu kuitazama inakusaidia nini katika maisha yako?
Katiba inakataa kwake kwakuwa amewahi kuwa CAGKWANI PROFSA ASSAD HAWEZI PATA UTEUZI MBONA YUKO MAKINI SANA,INABIDI MAMA PREZIDAR AMKUMBUKE AISEE
KWNAI K
Well said,pia ni vema apishe pale ili uchunguzi uwe huru zaidiSi mpaka ushahidi uwepo??
Au nyinyi mna ushahidi tayari?
Kama uchunguzi unaendelea mnataka ahukumiwe kabla ya ushahidi kukamilika?
Pumbafu. Jambazi ni jambazi tu. Majambazi wote wa chato dawa inachemka jikoni. Kama umeumia sana kunywa sumu..kwishhhha!Ukiambiwa uweke ushahidi hapa ni Jambazi utaweza au utaleta link za twitter!!
Jiwe alikuwa kabila gani?.Unatuonea tu Jiwe hakuwa Msukuma ila alijibanza kwa Wasukuma.
Ulitaka Msigwa afanyeje? Ilihali anapewa taarifa kutangaza.Yani mtu kafa tarehe 7 tena ndani ya Ikulu ya Dar wao wakakimbiza Makumbusho kwenda kufungia pump. Shubamitt! Msigwa naye kaonewa huruma tuu!
Wewe umekosa uteuzi???
katibu mkuu wa wizara ya afya na daktari mkuu wa Rais wa awamu ya tano.Mchembe alikuwa Nani mpaka akaweza kuficha kifo cha Rais wa nchi
Alikuwa Dr Bugando, akahamia Chato kumhudumia Rais ndipo akapanda kuwa Katibu Mkuu Afya kipindi Corona imeitandika nchi kwa mara ya kwanza akimtoa Mama aliyekuwepo na naibu Dr Ndugulile wakaondolewa, alibaki na UmmyHuyu daktari nina wasiwasi nae sana, kama nakosea Mungu anisamehe. Kwanza najiuliza alikuwa nani kabla hajawa daktari wa Rais?
Pemba Wala unguja wote ni kutoka baraWale wale tu ni sawa na Muarusha na mmasai
Hapa nilipo na enjoy nimeshakua Senior naufukuzia u PrincipalWewe umekosa uteuzi???
Kuna sekta zingine au mashirika mengine kuyaongoza hakutakiwi ujaribu mzeeLakini uzoefu unapatikana wapi ndugu zangu? si ni lazima mtu upate kazi ndipo uzoefu uje sasa kama hawamtaki mwenye uzoefu wanafikiri uzoefu unazaliwa nao?
Watu wa clearing wanalia sanaMkurugenzi wa TASAC aliyepita alisahau alikotokea. Mwanzo alikuwa kwenye makampuni binafsi ya shipping alipopata nafasi hakuwa mtetezi wa kampuni binafsi akabariki mpango wa TASAC kufanya kazi za kuwa regulatory mpaka kufanya kazi zilizokuwa zikifanyika na kampuni binafsi.
Na alikuwa anataka shughuli zote wafanye wao anguko kubwa limetokea kwa kampuni binafsi, alitaka serikali ifanye biashara wakati kampuni nyingi zilikuwa zikilipa kodi na ajira za direct na indirect zilikuwa nyingi.
Sure.kifup hakuna jipya..wanapakaza uharibifu tuu toka sehem moja kwenda nyingineWatu wanazunguka tu walewale wanabadilishana tu vyeo na wizara.
Mhede kapelekwa wap?Alphayo Kidata karejeshwa TRA dah! JPM alimhenyesha sana jamaa.