Rais Samia Suluhu Hassan amebaki na mitihani mikubwa mitatu tu katika elimu

Rais Samia Suluhu Hassan amebaki na mitihani mikubwa mitatu tu katika elimu

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Ngugu zangu kwanza mimi kama watanzania wengi wazalendo naomba ni ' dikleee' interest. Mimi ni mtu ambaye sina chama, so huwa niko huru kusema au kuusapoti upande wowote ninaohisi kwa siku hiyo una maslahi kwangu.

Rais ana nafasi ya kujenga ambayo haitasahaulika maisha akifanya haya..

1. Nyumba za walimu...
2. Mishahara bora kwa walimu
3. Lugha ya kufundisha na kujifunza Elimu ya msingi chekechea hadi kidato cha nne.
 
Hiyo namba 3 hebu idadavue, binafsi sijaelewa unataka kusemaje? Unapendekeza lugha ipi?
 
Hilo la mishahara na nyumba za walimu zinaanza kutatuliwa bajeti ijayo..

Wewe tega sikia tuu maana pesa zipo.
 
Acha Tufanye Sensa Yote Tutayafanyia Kazi Maana Pesa Zipo Nyingi
 
Naona sasa walimu wawekwe kwenye kundi maalamu, mbona wafanya kazi wa uma wengine wana panga nyumba kwa mishahara yao?
Nakubaliana na wewe walimu wamezidi kelele

Wafanyakazi vijijini wa serikali wengi kuna manesi,madaktari,watendaji,maafisa kilimo nk lakini walimu kila Siku kelele ohhh nyumba za walimu utafikiri wao ndo wastahili pekee wafanyakazi serikalini

Mishahara ya serikali inalingana kwa kada zote kutegemea elimu sasa wao kudai waongezewe maslahi kwa lipi has a yaani wanataka mwenye certificate ya ualimu alipwe mshahara wa mwenye digriii au? Dunia nzima hakuna kitu kama hicho
 
Ngugu zangu kwannza mimi kama watanzania wengi wazalendo naomba ni ' dikleee' interest. Mimi ni mtu ambaye sina chama, so huwa niko huru kusema au kuusapoti upande wowote ninaohisi kwa siku hiyo una maslahi kwangu...
Hivyo vyote ulivyotaja hapo Ni vizuri lakini haviwezi kumpa kura. Naona hujajua anachowaza maza wewe.
 
Back
Top Bottom