Nakubaliana na wewe walimu wamezidi keleleNaona sasa walimu wawekwe kwenye kundi maalamu, mbona wafanya kazi wa uma wengine wana panga nyumba kwa mishahara yao?
Hivyo vyote ulivyotaja hapo Ni vizuri lakini haviwezi kumpa kura. Naona hujajua anachowaza maza wewe.Ngugu zangu kwannza mimi kama watanzania wengi wazalendo naomba ni ' dikleee' interest. Mimi ni mtu ambaye sina chama, so huwa niko huru kusema au kuusapoti upande wowote ninaohisi kwa siku hiyo una maslahi kwangu...