Rais Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha siasa na dini kuwa imara kwenye uongozi

Petro15

New Member
Joined
Aug 22, 2025
Posts
3
Reaction score
0
Rais Samia amekuwa akisisitiza Watanzania kudumisha amani na mshikamano, akiwahimiza kutanguliza utaifa mbele ya tofauti za kikabila, kisiasa na kidini,Katika hotuba zake nyingi, amekuwa akisisitiza kauli mbiu ya Kazi iendelee kwa mshikamano wa Watanzania wote,akimaanisha kila mmoja ana nafasi ya kushiriki katika maendeleo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…