APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 292
Hilo ni kweli kiongozi wangu Vitalis Msungwita Mimi nazani watendaji wake hawafanyi tathimini sahihi ya rasilimali watu inayohitajika huko mashuleni na kumwambiaMadarasa amejitahidi kwakweli lakini aniajili Basi nikapige pindi maana madarasa bila walimu wakutosha Ni zero.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuna mpango wa kalenda ya ufundishaji umekuja mashuleni na upo nchi nzima. Kama walimu watautekeleza Kama unavyoagiza serikali wataliona pengo la walimu nchini.Hilo ni kweli kiongozi wangu Vitalis Msungwita Mimi nazani watendaji wake hawafanyi tathimini sahihi ya rasilimali watu inayohitajika huko mashuleni na kumwambia
Kama Kuna sector mhe Rais Samiah Suruhu Hassan ameitendea haki ni sector ya elimu, kwa kweli amejenga madarasa mengi Kila Kona ya nchi yetu bila upendeleo wowote.
Hajaishia hapo lkn pia ameamua kujenga shule maalumu za tarafa huko Kanda ya ziwa nimekuta shule hizi zinajengwa kwa Kasi ya ajabu. Nilijaribu kumuuliza mtu mmoja aliyekuwa site akasema maelekezo nikuwa shule hizo zinapaswa kufunguliwa mwanzo wa mwezi may-2022.Hongera Rais wetu mama Samiah Suruhu Hassan kwa kujali elimu yetu.Kazi iendelee.

Sio kwa hisani ya 'uviko kumi na tisa'?Serikali ndiyo imejenga kwa kodi za Watanzania
Kila Kona ya nchi? Mbona Kule kwetu Musoma vijijini hayo madarasa hayapo, yapo yaliyojengwa na Hayati... Sifa za Kijinga HiziKama Kuna sector mhe Rais Samiah Suruhu Hassan ameitendea haki ni sector ya elimu, kwa kweli amejenga madarasa mengi Kila Kona ya nchi yetu bila upendeleo wowote.
Hajaishia hapo lkn pia ameamua kujenga shule maalumu za tarafa huko Kanda ya ziwa nimekuta shule hizi zinajengwa kwa Kasi ya ajabu. Nilijaribu kumuuliza mtu mmoja aliyekuwa site akasema maelekezo nikuwa shule hizo zinapaswa kufunguliwa mwanzo wa mwezi may-2022.Hongera Rais wetu mama Samiah Suruhu Hassan kwa kujali elimu yetu.Kazi iendelee.
Huwezi kufanya vitu vyote kwa pupa kwa pamoja tutarudi kuleeAtoe ajira sasa na kujenga nyumba za walimu. Au hayo madarasa na hizo shule alizojenga/anazo endelea kujenga mtafundisha nyinyi makada wa chama?
Ni mtazamo wakoKila Kona ya nchi? Mbona Kule kwetu Musoma vijijini hayo madarasa hayapo, yapo yaliyojengwa na Hayati... Sifa za Kijinga Hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Amepanga kutoa mkuuAtoe ajira sasa na kujenga nyumba za walimu. Au hayo madarasa na hizo shule alizojenga/anazo endelea kujenga mtafundisha nyinyi makada wa chama?
Asante pia mkuuAhsante kwa taarifa...
Kabisa maana najua mpo wengi msiompenda
Kuna mikanganyiko sanaSio kwa hisani ya 'uviko kumi na tisa'?
Ila nazani mnaona hayo madarasa kweli yapo et ndugu zangu? Na amechukua hatua kwa watendaji waliobainikaKuna mikanganyiko sana
Pesa za Uviko na pesa na Tozo maana zote zilielekezwa kufanya hilo... Kuna mahali tutapigwa bila kujua tumepigwaje
Yapo kweliIla nazani mnaona hayo madarasa kweli yapo et ndugu zangu? Na amechukua hatua kwa watendaji waliobainika
Kama Kuna sector mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameitendea haki ni sector ya elimu, kwa kweli amejenga madarasa mengi Kila Kona ya nchi yetu bila upendeleo wowote.
Hajaishia hapo lkn pia ameamua kujenga shule maalumu za tarafa huko Kanda ya ziwa nimekuta shule hizi zinajengwa kwa Kasi ya ajabu.
Nilijaribu kumuuliza mtu mmoja aliyekuwa site akasema maelekezo nikuwa shule hizo zinapaswa kufunguliwa mwanzo wa mwezi May 2022.
Hongera Rais wetu mama Samiah Suruhu Hassan kwa kujali elimu yetu.Kazi iendelee.