Weka list ya marais wote na programu zao zote walizoanzisha.Niende moja kwa moja kwenye mada.
Naona kila kitu imekuwa ni Samia.
1. Madaktari wa Samia
2. Waalimu wa Samia
3. Mitungi ya gas ya Samia
4. Wanasheria wa Samia
5. Shule za Samia
6. Ongezea na program zingine
Si kweli wengine walianzisha vitu lakini hawapati kujulikana kwa sababu havikutumia majina yao.Niende moja kwa moja kwenye mada.
Naona kila kitu imekuwa ni Samia.
1. Madaktari wa Samia
2. Waalimu wa Samia
3. Mitungi ya gas ya Samia
4. Wanasheria wa Samia
5. Shule za Samia
6. Ongezea na program zingine
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Naona kila kitu imekuwa ni Samia.
1. Madaktari wa Samia
2. Waalimu wa Samia
3. Mitungi ya gas ya Samia
4. Wanasheria wa Samia
5. Shule za Samia
6. Ongezea na program zingine