pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 312
- 616
Shida ni uwaziri ama usukuma wake?Waanze na waziri,, si msukuma yule
Acha uduanzi, Acha uduanzi.Waanze na waziri,, si msukuma yule
Ninashauri bodi ya tanesco isambaratishwe, haipitishi miradi kwà wakati,Pole na pongezi kwako, naomba nikufikishie hili la TANESCO kuweka umeme kwenye nyumba imekuwa balaa, baada ya kufanya wiring ili kumpata surveyor inabidi usubiri hata miezi sita ila ukitoa chochote wanakuja kwa haraka, wakikuambia kwamba watakuletea umeme bila nguzo gharama yake ni laki tatu, ambapo watakuahidi kuwa watakuja baada ya wiki mbili hapa unaweza kusubiri miezi miwili au mitatu kama hujatoa chochote.
Cha kusikitisha zaidi ni pale eneo lako linapohitaji nguzo moja au zaidi, bei ya nguzo moja ni zaidi ya shilingi laki tano sawa na mshahara wa afisa wa serikali mwenye elimu ya shahada ya kwanza fikiria kama eneo lako linahitaji nguzo tatu mbaya zaidi watakwambia kuwa baada ya kulipa usubiri miezi miwili ila kiukweli hapa utasubiri mpaka miezi sita.
Kama haya yanayotokea ni uzembe, naomba waziri mwenye dhamana na mkurungenzi mtendaji wawajibishwe kwani wanahujumu serikali tunashindwa kufanya biashara ndogo ndogo ambazo zinahitaji umeme, hivyo kuikosesha serikali mapato.
Pia wahusika wawajibishwe kwa kutokuwa waadilifu; yaani kwa sasa mtu Akihitaji kuweka umeme ni mpaka amjue fulani hili shirika sijawahi kulielewa.
Mwambie Prof muhongo.Ni wakati sasa hii monopoly ya Tanesco iishe waruhusiwe Makampuni ya watu binafsi kwenye soko
Ndugu mpendwa Mteja wetuPole na pongezi kwako, naomba nikufikishie hili la TANESCO kuweka umeme kwenye nyumba imekuwa balaa, baada ya kufanya wiring ili kumpata surveyor inabidi usubiri hata miezi sita ila ukitoa chochote wanakuja kwa haraka, wakikuambia kwamba watakuletea umeme bila nguzo gharama yake ni laki tatu, ambapo watakuahidi kuwa watakuja baada ya wiki mbili hapa unaweza kusubiri miezi miwili au mitatu kama hujatoa chochote.
Cha kusikitisha zaidi ni pale eneo lako linapohitaji nguzo moja au zaidi, bei ya nguzo moja ni zaidi ya shilingi laki tano sawa na mshahara wa afisa wa serikali mwenye elimu ya shahada ya kwanza fikiria kama eneo lako linahitaji nguzo tatu mbaya zaidi watakwambia kuwa baada ya kulipa usubiri miezi miwili ila kiukweli hapa utasubiri mpaka miezi sita.
Kama haya yanayotokea ni uzembe, naomba waziri mwenye dhamana na mkurungenzi mtendaji wawajibishwe kwani wanahujumu serikali tunashindwa kufanya biashara ndogo ndogo ambazo zinahitaji umeme, hivyo kuikosesha serikali mapato.
Pia wahusika wawajibishwe kwa kutokuwa waadilifu; yaani kwa sasa mtu Akihitaji kuweka umeme ni mpaka amjue fulani hili shirika sijawahi kulielewa.
TANESCO KWA KWELI KUNA TATIZONdugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Toa location na taarifa zako usaidiweNdugu mpendwa Mteja wetu
Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Tanesco wamejitahidi kuboresha huduma ingawa miaka 6 hawakuwa na nyongeza za mishaharaHaya ni majungu tu mkuu moja ya taasisi za Serikali ambazo zimejitahidi sana awamu hio ya tano iliyopita huwezi kuiacha tanesco, Angalia tanesco ya Mzee wa Msoga ambapo umeme kukatika ilikuwa jambo la kawaida na Tanesco ya Hayati JPM ambapo hata mgao hakuna kabisa, Waziri ameshawaambia nguzo ni bure ivo nakushauri usilipe bei hadi ya nguzo na Ukar usubiri Tanesco isogeze miundo mbinu kwa kupata fungu la serikali, Sasa akili ni zako chagua kukaa giza Mpaka Mradi usogee au Kulipia na izo additional cost za vitu kama nguzo upate umeme kwa wakati, Wanasiasa wameharibu sana Raia kwa Gear ya kuwaita wanyonge kataa kabisa ujinga wa vitu bure hata elimu ya bure imejaa ujinga na wananchi mnashangilia ile hali watoto wenu wanaumia