afanye maridhiano na wale 14Rais wa Tanzania ni wewe kwa sasa ni mda wa kuweka mizani sawa na kuacha kusikiliza hao machawa na kwenda kwenye maridhiano. Wachukulie hatua wote waliosababisha yale ya October 29 Husiogope mtu wala kumwangalia mtu usoni kuanzia IGP, Wote wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wakupishe washauri wako wote hapo Ikulu fukuza dawati la siasa Ikulu fukuza hawana kazi wanayofanya zaidi zaidi ni kukulisha Uongo amabo hauna tija. Mtoe Tundu Lissu jela bila masharti yoyote Wewe ndo Rais hao wanaokushauri kwamba Lissu aendelee kua jela ni wabaya sana. Waliokuzunguka wote wanaokusifia sio kwamba wanakupenda wao wako kwako na sifa zote wanazokupa sio za kweli wao wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao sio kwasababu ya wananchi na watanzania. Ukitaka kuona sura zao vizuri hao machawa wanaokusifia siku ukiondoka madarakani utaona sura zao halisi ndo utajua kwamba ulikua umezungukwa na watu wanafiki. Hata kipindi Nyerere anataka kuondoka madarakani kuna watu walikua hawataki mzee anga’tuke baada ya mzee Nyerere kuchunguza akaja kuona kwamba wale walikua wanatetea familia zao kwa kuwaza Nyerere akiondoka wataishije. Rais acha kusikiliza hao waliokuzunguka mara nyingi hawawezi kukwambia ukweli jaribu kusikiliza hata sauti za watu wa kutoka nje na Cycle yako kuna kitu utakipata. Maridhiano ya kweli yatakuja pale utakapoamua kuacha kusikiliza wapambe wako na machawa.
Kaka, Rais ana kinga! Anawaza kuwawajibisha na yeye akabaki msafi! Ni suala gumu, lakini angalau litamletea heshima!Kwahiyo waliofanya hayo kwani si wanajulikana na nani alikuwa amri mkuu wa wale matukio mzee au ulikuwa unamaanisha kitu gani? Au kina nani wachuk huliwe hatua
my friends, ladies and gentlemen,Rais wa Tanzania ni wewe kwa sasa ni mda wa kuweka mizani sawa na kuacha kusikiliza hao machawa na kwenda kwenye maridhiano. Wachukulie hatua wote waliosababisha yale ya October 29 Husiogope mtu wala kumwangalia mtu usoni kuanzia IGP, Wote wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wakupishe washauri wako wote hapo Ikulu fukuza dawati la siasa Ikulu fukuza hawana kazi wanayofanya zaidi zaidi ni kukulisha Uongo amabo hauna tija. Mtoe Tundu Lissu jela bila masharti yoyote Wewe ndo Rais hao wanaokushauri kwamba Lissu aendelee kua jela ni wabaya sana. Waliokuzunguka wote wanaokusifia sio kwamba wanakupenda wao wako kwako na sifa zote wanazokupa sio za kweli wao wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao sio kwasababu ya wananchi na watanzania. Ukitaka kuona sura zao vizuri hao machawa wanaokusifia siku ukiondoka madarakani utaona sura zao halisi ndo utajua kwamba ulikua umezungukwa na watu wanafiki. Hata kipindi Nyerere anataka kuondoka madarakani kuna watu walikua hawataki mzee anga’tuke baada ya mzee Nyerere kuchunguza akaja kuona kwamba wale walikua wanatetea familia zao kwa kuwaza Nyerere akiondoka wataishije. Rais acha kusikiliza hao waliokuzunguka mara nyingi hawawezi kukwambia ukweli jaribu kusikiliza hata sauti za watu wa kutoka nje na Cycle yako kuna kitu utakipata. Maridhiano ya kweli yatakuja pale utakapoamua kuacha kusikiliza wapambe wako na machawa.
shida sio waliomzunguka. Shida ni yeye!Rais wa Tanzania ni wewe kwa sasa ni mda wa kuweka mizani sawa na kuacha kusikiliza hao machawa na kwenda kwenye maridhiano. Wachukulie hatua wote waliosababisha yale ya October 29 Husiogope mtu wala kumwangalia mtu usoni kuanzia IGP, Wote wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wakupishe washauri wako wote hapo Ikulu fukuza dawati la siasa Ikulu fukuza hawana kazi wanayofanya zaidi zaidi ni kukulisha Uongo amabo hauna tija. Mtoe Tundu Lissu jela bila masharti yoyote Wewe ndo Rais hao wanaokushauri kwamba Lissu aendelee kua jela ni wabaya sana. Waliokuzunguka wote wanaokusifia sio kwamba wanakupenda wao wako kwako na sifa zote wanazokupa sio za kweli wao wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia zao sio kwasababu ya wananchi na watanzania. Ukitaka kuona sura zao vizuri hao machawa wanaokusifia siku ukiondoka madarakani utaona sura zao halisi ndo utajua kwamba ulikua umezungukwa na watu wanafiki. Hata kipindi Nyerere anataka kuondoka madarakani kuna watu walikua hawataki mzee anga’tuke baada ya mzee Nyerere kuchunguza akaja kuona kwamba wale walikua wanatetea familia zao kwa kuwaza Nyerere akiondoka wataishije. Rais acha kusikiliza hao waliokuzunguka mara nyingi hawawezi kukwambia ukweli jaribu kusikiliza hata sauti za watu wa kutoka nje na Cycle yako kuna kitu utakipata. Maridhiano ya kweli yatakuja pale utakapoamua kuacha kusikiliza wapambe wako na machawa.