Rais Samia Suluhu kumshukuru kwa ishara mhudumu wa Air Tanzania ni ishara ya Utumishi unaoheshimu wadogo na wakubwa

Huyu mama anawafanya MATAGA kujikataa kabisa.
 
25 Lakini Yesu akawaita wote pamoja aka waambia, “Mnafahamu kuwa watawala wa mataifa hupenda kuheshi miwa, na wenye vyeo hupenda kuonyesha mamlaka yao. 26 Isiwe hivyo kwenu. Badala yake, anayetaka kuwa mkuu kati yenu hana budi kuwa mtumishi wenu. 27 Na anayetaka kuwa wa kwanza kati yenu ni lazima awe mtumishi wenu;

Matayo 20:25-27
 
Mtamkumbuka sana nyinyi mafisadi kwa mnyoosho mliopata na bado tunaendelea kuwanyoosha kisawa sawa. Sasa kila analofanya Rais Mama Samia lazima msifu mkifikiri atawaregezea nyinyi wauza madawa.
Jana kawapiga chini na kundi lenu la kina Ndugulile. Mmeleta ukatili wa Magufuli kujijenga kwa damu za Watanzania amewagomea.
 
MATAGA safari hii inabidi muwekewe uangalizi wa karibu maana mnaweza kujinyonga.

Maana mluvyozoeshwa sasa hivi mnakutana na mambo tofauti
 
Jamani utawala huu vijana watanufaika sana kujifunza uongozi wenye kuchunga nidhamu, heshima na kutumia busara zaidi wakati wote. Maadili ya uongozi yalijua kumomonyoka wakati wa Jiwe.
 
Yaani Rais hata akikohoa kwa sasa utaanzishwa Uzi. Ni mwendo wa kusifu kinafikii tu.
MATAGA mkiona tofauti kajinyongeni tu maana hamna faida kwa watanzania
 
Kwa hapa Tanganyika ukiwaacha JK Nyerere na Mkapa na Mwinyi na Kikwete ni yupi amewahi kufanya hayo?
 
tuwekee hapa mkuu
 
Putin style
 
MATAGA safari hii inabidi muwekewe uangalizi wa karibu maana mnaweza kujinyonga.

Maana mluvyozoeshwa sasa hivi mnakutana na mambo tofauti
We ulikula shingapi mwaka 2015, maana umekuwa msafishaji mkubwa wa madudu ya mwenyekiti hapa jukwaani. Hata hivyo tetea yako haisaidii kuwaingiza wapinzan ikulu daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…