othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Thanks to covid19 maana imeepusha vita vya wenyewe kwa wenyewe TzMataga bana,mbona wakati wa Jiwe hamkuongea haya mlisema mishahara inatosha na vijana wajiajiri na hizo hela ajenge maflyover na barabara kila sehemu.
Wapi nimesema wote waajiriwe?Hakuna nchu inayoweza kuahiri raia wake wote,tuache kampeni za kijinga
Sijasema wasipate maslahi, Ila kwa namna inavyozungumziwa ni Kama watanzania wote ni watumishi wa umma.Mkuu punguza roho mbaya hacha watu wapate stahiki zao, lazima kuajili huku ukiboresha maslai ya wale ulionao,
Hilo la maslahi ya wafanyakazi kwa makusudi linafanywa Kama ajenda ya watanzania wote huku uhalisia ni kuwa watumishi wa umma ni 0.6% ya watanzania wote.Acha uchawi wewe mleta mada!
Vyote vinahitajika, Yaani Ajira na Masilahi bora ya wafanyakazi, na ndiyo maana Rais anafanyia kazi vyote!
Lakini Wana nguvu kuliko wote haoSijasema wasipate maslahi, Ila kwa namna inavyozungumziwa ni Kama watanzania wote ni watumishi wa umma.
Kelele nyingi huku hawafiki hata 1% ya watanzania wote.
Sio kweli, impact ipo lakini ndogo Sana.Nyongeza ndio ajira yenyewe hio.Ukiongeza uwezo wa mtumishi kununua mahitaji yake mfano nguo, chakula,usafiri,ujenzi,nk mfanyabiashara atauza atapata faida.
Kumbuka enzi ya JK nyumba za nyasi nchini zilitoweka kwa speed ya uyoga sababu ya mzunguko mzuri,zilisimama ilipoingia awamu ya kuwasomesha namba watu,awamu ya propaganda za kuhadaa wanyonge.
Nguvu gani?Lakini Wana nguvu kuliko wote hao