Wewe Muache Mama aendelee kuupiga Mwingi.
Umesahau madai ya KATIBA mpya.Rais Samia Suluhu huu si wakati wa kukaa kimya, hutubia taifa ili nchi na watu wake wapate mwanga mpya, kuna mambo mengi yanachanganya wananchi, mfano
Kuna kipindi Rais JMK mstaafu na Dkt. John P Magufuli walizungumza na taifa pale ilipotokea kukawa na kelele nyingi.
- Suala tozo
- Chanjo
- Democracy
- Ugaidi
Ukihutubia taifa, haijalishi utasema Nini ila utabadilisha upepo na kuleta hoja mpya kwa wananchi.
Isitumike nguvu kunyamazisha Uhuru wa maoni ya watanzania haijalishi ni ccm au upinzani
"Hoja haipigwi rungu" jmk
Chuki zitakupeleka pabaya sana.Gaidi Mbowe ndio amsumbue Rais kuhutubia taifa bila ya kuwa na ratiba hiyo?
Gaidi Mbowe yupo sehemu stahili, chawa wake mtulie, kama mna uchungu sana nendeni mkajiunge naye Ukonga.
Gaidi Mbowe ndio amsumbue Rais kuhutubia taifa bila ya kuwa na ratiba hiyo?
Gaidi Mbowe yupo sehemu stahili, chawa wake mtulie, kama mna uchungu sana nendeni mkajiunge naye Ukonga.
Ameupiga mwingi mpaka kazidi offside sasa.Wewe Muache Mama aendelee kuupiga Mwingi.