Mpendwa rais SSH,
Leo naomba niseme kwa ufupi haraka kuwa kuna jipu ambalo lilimshinda mtangulizi wako kwa sababu ambazo hazijulikani.
Jipu hili si jingine basi Lugumi. Huyu bwana aliiba pesa nyingi ya wananchi. Wakati wa kumsulubu ni sasa.
Pia nidokeze kuwa hata Paul Makonda achunguzwe utajiri alio nao aliupataje.