Rais Samia, tulikueleza mapema hawa CHADEMA sio wa kuwalegezea maana ni waganga njaa wasiojali maslahi ya taifa. Sasa mapema umeona madhara yao

Vipi ungependa awamininie risasi?
Watu wanadai katiba mpya,watu wanaadai utwala wa sheria na kufuata katiba.Vitisho vya nini?
Taratibu tutamuelewa Tundu Lissu,Raisi Samia alikuwa namba 2 wa Magufuli na hawezi akayatupa yote kuna machache atachukua na mojawapo ni hili la kuanza kutumia vitisho!!
 
Pumbavu kabisa wewe pamoja na thread yako
 
uyo bwege tu,achana naye
 
Unataka awateke na kuwapoteza kwa kutumia wasiojulikana?

Mod hizi mada nyingine zinafaa kubaki kuwa ni comments tu mnaziachaje zinajaa kwenye jukwaa letu pendwa la Siasa?

Hizi mada zinapoteza mada zenye mashiko

Hebu fanyeni cleaning
cleaning ni muhimu sana kwa nyuzi kama hizi
 
eti choko choko - yaani kudai haki yako ya kikatiba inageuka kuwa chokochoko - sawa kama hivyo ndiyo anzeni ile style yenu pendwa ya Mwendazake ya kupoteza watu ama kubambikizia kesi za mauaji ili waogope - hiyo ndiyo mnaweza - otherwise Katiba tunaidai kwa mbinu zote na CCM hamna uwezo wa kutuzuia watanzania kwa umoja wetu.

Uchaguzi ujao 2025 lazima KATIBA iwe mezani, TUME HURU MEZANI - mtake msitake.
 
Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi hapa nchini ,hawa wapinzani hawajawahi kuvunja amani lakini kila mara utawasikia watawala wa ccm wakiwaambia wananchi kwamba wapinzani wanataka kuvunja amani,huu ni uongo.
 
Ukweli ni huu nchi ni yetu sote, katiba mpya lazima ipatikane apende asipende nchi siyo mali yake binafsi
Watoto wa teuzi hao wanadeka kwa mamayao na teuzi zao .
Hawataki tena kusikia habari za Uzalendo,
Wapumbavu sana hawa kenge wa kijani.
 


Siasa sio kupenda kila kitu cha mwenzako. Kikubwa sio Raisi ni sheria kama Chadema wanafuata sheria tatizo liko wapi! Huwezi kumlaumu Raisi kwa kufuata sheria!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…