Rais Samia: Tumetafuta zaidi ya Dola Milioni 300 zitakazokarabati Barabara zilizoharibiwa Mvua nchini

Rais Samia: Tumetafuta zaidi ya Dola Milioni 300 zitakazokarabati Barabara zilizoharibiwa Mvua nchini

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Akizungumza wakati akiendelea na ziara yake Mkoani Morogoro, Rais Samia amesema mbali na uzinduzi wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Mkoa huo, amefika pia kujionea hali ya Miundombinu ya Barabara iliyoharibiwa kutokana na Mvua za El Nino zilizonyesha kuanzia mwaka 2023.

Rais amesema Serikali imepata zaidi ya Dola Milioni 300 ambazo zitatumika kukarabati hali ya Barabara zote zenye changamoto ya kupitika baada ya kuharibiwa na Mvua.
 
Aache porojo...wakandarasi wengi wanaidai serikali, tarura na tanroads wanakiri hawapati fedha za kutosha toka hazina
 
Mwanza ikumbukwe kwa barabara ya kenyatta(Mwanza/shy) ilivyoharibiwa kwa mvua kama mlivyoahidi kuijenga kwa njia nne yaani dual carriage.
 
Hii nchi ipo ICU tukubali
Eti dollar ngapi mnatafuta
 
Mzee X wa Bungee; huku bado wanakopaaa!!
 
Back
Top Bottom