Vijana walipoenda Nyamagana stadium wakaishia kutoa ng'ombe tuMh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo.
Kama bati futi 10 la gauge 32 ni limefikia Tsh. 20,000/- tutaweza kujenga kweli. Tafadhali washauri wa Rais tunaomba mlifikishe hili, ni hatari huku vijijini.
Karibu watalaamu tushauriane ujumbe umfikie Mh. Rais. Ahsante sana.
Mama yangu mama samia usiingilie hizi biashara kwa ushauri wangu.Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo...
Yaan hata hujui nini kinasababisha bei kupanda ama kushuka umecoment ilimradi umecomentMama yangu mama samia usiingilie hizi biashara kwa ushauri wangu.
Hawa wanaopandisha hivi vitu ni watanzania pia wanapata tonge lao hapo...
Wakimruhusu dangote kuzalisha kwa wingi ataua ile mitambo ya malikia hapo wazo wakati hela ya malikia aliyojengea pale haijarudishwa.Kwakweli
Nondo mm12 = tshs 19,500
Cement =tshs 19000/ 19,500...
Halafu lile zumbukuku kwenye bajeti halikuondoa tozo na kupunguza kodi kwenye vifaa vya ujenzi.Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo...
Haimanishi kwamba wafanyabiashara ndio washushe bei za vifaa bila serikali kushusha kodi za vifaa hivyo. Serikali ikipunguza kodi ya vifaa vya ujenzi vinaingia kutoka nje na vinavyotengenezwa hapa nchini bila shaka hata wafanya biashara watakuwa na unafuu kwenye kodi hivyo nao kupunguza bei kwenye biashara zao.Mama yangu mama samia usiingilie hizi biashara kwa ushauri wangu.
Hawa wanaopandisha hivi vitu ni watanzania pia wanapata tonge lao hapo...
Mkuu mimi nimetoa maoni.Yaan hata hujui nini kinasababisha bei kupanda ama kushuka umecoment ilimradi umecoment
Mimi naona tatizo kwenye habari nzima ya kumtaka rais aangalie kila kitu kama nchi haina mifumo.Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo...
Mahali nilipo mfuko waMkuu, naomba uorodheshe vifaa vyote. Mfano, cement iko juu sana, nondo pia iko juu n.k
Mh. Rais mama Samia Suluhu Hassan tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi kwani gharama zake ziko juu sana kiasi mtu wa kipato cha kawaida hasa wa kijijini hawezi kumudu gharama hizo hata kidogo.
Kama bati futi 10 la gauge 32 ni limefikia Tsh. 20,000/- tutaweza kujenga kweli. Tafadhali washauri wa Rais tunaomba mlifikishe hili, ni hatari huku vijijini.
Karibu watalaamu tushauriane ujumbe umfikie Mh. Rais. Ahsante sana.
Mahali nilipo mfuko wa
cement ni tsh.23,000/-
Nondo mm 12 =21,000/-
Bati futi 8 gauge 32 = 18,000/-
futi 6 -//-. 17,000/-
Misumari kilo 1 = 8,000/-
Baadhi tu ya vifaa
Sahihi kabisa.Mimi naona tatizo kwenye habari nzima ya kumtaka rais aangalie kila kitu kama nchi haina mifumo.
Wananchi wanatakiwa kujipanga zaidi kimfumo, sio kila kitu kulalamika kwa rais.
Kwa mfano, kuna vikundi vya wanunuzi wa bidhaa za ujenzi vinavyofanya uchunguzi kuhakikisha bei hizi hazipatikani kwa ulanguzi? Kuna mbunge aliyepewa kazi ya kufuatilia chanzo cha tatizo na kuweka ufumbuzi wa kisheria kupitia bunge?
Rais ana sehemu yake kwenye utatuzi wa haya matatizo, kwa mfano, ameongea na Dangote kuhusu kuendeleza uwekezaji wa Dangote nchini. Lakini je, wananchi wamejipanga vipi zaidi ya kulalamika rais aingilie?
Rais hawezi kuwapo kila sehemu. Rais hawezi kusikia kila lalamiko. Na hata akisikia kila lalamiko, rais hana majibu ya maswali yote.Kuna maelfu na maelfu ya watu wanalia rais aingilie hili na lile. Hawezi kujigawa asikilize wote.
Inabidi tujipange kimfumo zaidi.
Hata kama wakipunguza kodi serikali bado sio sahihi kumpangia bei muuzaji.Haimanishi kwamba wafanyabiashara ndio washushe bei za vifaa bila serikali kushusha kodi za vifaa hivyo. Serikali ikipunguza kodi ya vifaa vya ujenzi vinaingia kutoka nje na vinavyotengenezwa hapa nchini bila shaka hata wafanya biashara watakuwa na unafuu kwenye kodi hivyo nao kupunguza bei kwenye biashara zao.
Mkuu unadhani kwa hizi bei wauzaji wanapata faida na kufaidika ?Mahali nilipo mfuko wa
cement ni tsh.23,000/-
Nondo mm 12 =21,000/-
Bati futi 8 gauge 32 = 18,000/-
futi 6 -//-. 17,000/-
Misumari kilo 1 = 8,000/-
Baadhi tu ya vifaa