Rais Samia: Tusherekee sikukuu ya kumaliza na kuanza kwa mwaka unakuja kwa amani na salama

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa katika salamu za kufunga Mwaka 2025 na kuukaribisha Mwaka Mpya 2026, tarehe 31 Desemba, 2025, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar.


View: https://www.youtube.com/live/YL_B9bZO-Ag
Updates....

Ni wape pole wakazi wa Jiji Dar es salaam na maeneo mengine yote palipokuwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama, katika kukabiliana na hali hiyo hususani kwa Wakazi wa Jiji Dar es salaam, serikali ili hakikisha kwamba vyanzo vya maji vilivyokaribu vinaelekeza maji jiji humo na kufufua visima vilivyokuwa avifanyi kazi
 
Kama.nani?
 

Huyu Bibi age tu, keshapoteza mvuto Kila tukimuona tunaona anatutonesha vidonda vya Ndugu zetu aliowauwa na kuwazika kibabe.

MUNGU Tunaomba ushuke utuondolee huyu Shetani kabla mwezi January 2026 haujaisha maana wewe husimama na kulia na wanaonewa na Hawa mafisadi wa nchi yetu
 
Akahutubie alioagiza wauwawe ili abaki madarakani.
Walikufa wakiwa wanafanya nini .

Nakuhurumia sana kwasababu mtakuwa watu wa kulalamika miaka yote mpaka mnakufa, nyny Kila Rais ni kumlalamikia tu Huwa hamchoki.
Mkishalalamika mnapata nini
 
C&P

Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui? Yeye si anadai ni Mwislamu?

Tunataka miili ya ndugu zetu tukawazike wenyewe.

Anaongea au anahutubia taifa kama nani? Muuaji, Mtekaji, au mbambikizia kesi?
 
Waligoma kuwepo kwa uchaguzi kiiinimacho. Hatulalamiki tunawapa ukweli wenu. Kila rais anaambiwa ukweli wake, ww unayeona wanafaa wasifie kimpango wako.
Walikufa wakiwa wanafanya nini .

Nakuhurumia sana kwasababu mtakuwa watu wa kulalamika miaka yote mpaka mnakufa, nyny Kila Rais ni kumlalamikia tu Huwa hamchoki.
Mkishalalamika mnapata nini
 
Walikufa wakiwa wanafanya nini .

Nakuhurumia sana kwasababu mtakuwa watu wa kulalamika miaka yote mpaka mnakufa, nyny Kila Rais ni kumlalamikia tu Huwa hamchoki.
Mkishalalamika mnapata nini
Mwambie akahutubie hao marehem aliowaua na kuwazika anakojua yeye, mwambie sisi tulio hai hatuhitaji hotuba yake
 
Walikufa wakiwa wanafanya nini .

Nakuhurumia sana kwasababu mtakuwa watu wa kulalamika miaka yote mpaka mnakufa, nyny Kila Rais ni kumlalamikia tu Huwa hamchoki.
Mkishalalamika mnapata nini
Subiri aanze kushughulikiwa vizuri na ICC...hii akili mgando itakutoka
 
Walikufa wakiwa wanafanya nini .

Nakuhurumia sana kwasababu mtakuwa watu wa kulalamika miaka yote mpaka mnakufa, nyny Kila Rais ni kumlalamikia tu Huwa hamchoki.
Mkishalalamika mnapata nini


Wanadamu wote tuna mapungufu, ndiyo maana tunasameheana, lakini kuwaua wanadamu wenzako, huo siyo upungufu bali ni uharamia. Kiongozi hutakiwi kuwa mtu haramia

Tumwombe Mungu atujalie kuwapata viongozi wanaoheshimu na kuthamini uhai wa mwanadamu regardless mtu huyo ni ni dhaifu kiasi gani.

Nchi yetu imeingia kwenye laana kuu kwa sababu waliotakiwa kulinda uhai wa Watanzania wamegeuka kuwa wauaji wa Watanzania. Waliowaua Watanganyika, wafanye toba kuu kuomba huruma ya Mungu, maana uovu walioufanya ni ushetani wa kiwango cha ajabu kupindukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…