JF
Katika kitu mama amefanikiwa ndani ya muda mfupi ni kurejesha nidhamu ya viongozi wateule wa rais.
Itakumbukwa hapo nyuma wakuu wa mikoa ya Mbeya na Iringa walijiona ni miungu watu ndani ya nchi hii, walikuwa wanafanya mambo wanayojisikia hata kama ni kinyume na haki za viongozi.
Huyu Chalamila alikuwa ni mropokaji maarufu, hakuna siku ilikuwa inapita bila kupata habari zake kwenye tv, radio na magazeti ya CCM kutokea Mbeya.
Hapi ndio alikuwa hovyo, alifikia hatua amejaa kibri mpaka kuwatusi wazee wa nchi hii.
Kwa sasa speed governor aliyoifunga Mama Samia Suluhu Imemaliza kila kitu. Huyu Chalamila hata kwenye Tv haonekani kabisa kitu ambacho haikuwa kawaida
Chalamila ameufyata rasmi