Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Rais ambaye umekulia mazingira ambayo unayafaham vizuri. Unabana kwenye Mafuta ambako ni usafiri uti wa mgongo wa maendeleo. Unaongeza kodi huko.
Kuumiza wakulima, wafanyabiashara na wafugaji. Unaachia kwenye kilevi ili wote tuwe tunalewa tusitumie tena akili. Si ndiyo?
Unaongeza kodi kwenye miamala ambako Watanzania maskini wengi wamejiajiri. Unafanya hivyo kuwaumiza Watanzania wengi walioamua kujiajiri na kuajiri wengine.
Unaona kabisa ni sahihi na unafuraha moyoni ukizunguka huku na kule? Hujisikii hata dhambi kuwadhulumu Watanzania? Kukusanya kodi ya dhulma kwa maskini?