Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Pombe haikupunguzwa Bei, unafikili kutoka kiwandani hadi zifike kwako hizo pombe zitakuja zinatembe zenyewe kwa miguu?Rais ambaye umekulia mazingira ambayo unayafaham vizuri. Unabana kwenye Mafuta ambako ni usafiri uti wa mgongo wa maendeleo. Unaongeza kodi huko...
Tumia ubongo kufikiri. Masaburi acha yawe kwa ajili ya kukalia tu. Hapo ndo utaweza waelewa wanaotumia ubongo.Pombe haikupunguzwa Bei ,unafikili kutoka kiwandani hadi zifike kwako hizo pombe zitakuja zinatembe zenyewr kwa miguu?
Yaan hata mie nashangaa! Pombe ingeongezwa elfu mbili!Rais ambaye umekulia mazingira ambayo unayafaham vizuri. Unabana kwenye Mafuta ambako ni usafiri uti wa mgongo wa maendeleo. Unaongeza kodi huko...
Sisi walevi wakongwe tunafurahia hatua hiyo ,kwani na sisi tumekumbukwa.Rais ambaye umekulia mazingira ambayo unayafaham vizuri. Unabana kwenye Mafuta ambako ni usafiri uti wa mgongo wa maendeleo. Unaongeza kodi huko...
Anaongeza kwenye mafuta. Halafu watu wanasa eti mwigulu ndo kamshauri hivyo. Kwa hiyo yeye hawezi kufikiri?Yaan hata mie nashangaa! Pombe ingeongezwa elfu mbili!
Kwahiyo kwakuwa wewe ulevi wako ni Mirungi na Bangi ulitaka Pombe iongezwe tu Kodi?Rais ambaye umekulia mazingira ambayo unayafaham vizuri. Unabana kwenye Mafuta ambako ni usafiri uti wa mgongo wa maendeleo. Unaongeza kodi huko...
Naona hawezi kufikiri! Mi sio mdau wa mwendazake lakini kwa hili namkumbika sana. Mtu angekuwa keshatumbuliwa!!!!Anaongeza kwenye mafuta. Halafu watu wanasa eti mwigulu ndo kamshauri hivyo. Kwa hiyo yeye hawezi kufikiri?
Tumia ubongo kufikiri. Masaburi acha yawe kwa ajili ya kukalia tu. Hapo ndo utaweza waelewa wanaotumia ubongoKwahiyo kwakuwa wewe ulevi wako ni Mirungi na Bangi ulitaka Pombe iongezwe tu Kodi?
Inategemea na wanufaika kwenye kundi la wenye maamuzi.Rais ambaye umekulia mazingira ambayo unayafaham vizuri. Unabana kwenye Mafuta ambako ni usafiri uti wa mgongo wa maendeleo. Unaongeza kodi huko...
Ndiyo ajabu yenyewe hiyo!!! Kikwete alisema akili ya kuambia changanya na ya kwako!!! Kwani yeye hakuchanganya na ya kwake? Hatuishi kwa kutumia akili ya kuambiwa!!!Anaongeza kwenye mafuta. Halafu watu wanasa eti mwigulu ndo kamshauri hivyo. Kwa hiyo yeye hawezi kufikiri?
Komeo umegusa maslahi ya mdudu hapo. Hahahaaa.Pombe haikupunguzwa Bei, unafikili kutoka kiwandani hadi zifike kwako hizo pombe zitakuja zinatembe zenyewe kwa miguu?
Pombe haikupunguzwa Bei, unafikili kutoka kiwandani hadi zifike kwako hizo pombe zitakuja zinatembe zenyewe kwa miguu?
Tumia ubongo kufikiri. Masaburi acha yawe kwa ajili ya kukalia tu. Hapo ndo utaweza waelewa wanaotumia ubongo.