TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kwa kifupi.
Tumefika na tupo hapa Mkata kutokea Namanga kwenda Dar Es Salaam.
Tumeshuka na kukaa ili kukusubili wewe na msafara wako upite. Hii kitu imenipa wakati mgumu sana kuwaza na kutafuta jibu hata sijalipata.
Wewe ndiye mwenye maamuzi na viongozi walio chini yako kufanya mageuzi ya utaratibu kati yenu na sisi wananchi pale mnapokuea kwenye ziara kama hii.
Tumekaa almost 2hrs na bahati mbaya hatupewi taarifa labda kwa sababu za usalama wako ila kama bado unahutubia wananchi hapo Handeni kwa nini tuzuiwe kwa muda wote huu?.
HII SI SAWA hata kidogo, pamoja na kuwepo wagonjwa kwenye gari nyingine bado nasema si sawa Mh. Rais.
Tubadirike kwa kuweka utaratibu mzuri.
Asante 2025!.