Tunajua kuna watu washakuletea mezani kwako takwimu kwamba uchumi unayumba hivyo usiongeze mishahara ya watumishi, mama akikubali hilo huo utakuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza lako, kumbuka una vita ya Mfumo dume ambayo inaendeshwa na wana ccm wenzio wanafanya kila mbinu wapate point za kukugombanisha na makundi mbali mbali nchini!!
Sasa wanakuandalia mgogoro na watumishi kwa kukushawishi usiongeze mishahara hapa utakuwa umejizika rasmi, kundi la watumishi ndo kete yako muhimu ukishindwa kuliona na hili basi sina cha kukusaidia mama angu mpendwa!!!
Huu mpango nimeudaka mahali wanauandaa kiuweledi kuuleta mezani kwako ili kukugombanisha na watumishi wako wa umma