ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Hawa ni wananchi wapo bonde la Jangwani karibu na club ya Yanga. Wengine wana hati wengine wana ofa.
Wote hao maeneo yao yanatwaliwa kwa ajili ya mradi wa uendelezaji wa Bonde hilo. Tafadhali hawa watu wenye umiliki wa ardhi kihalali/ kisheria wasichanganywe na squatters/ wavamizi na kujumuishwa wote kwa pamoja wapate fidia flat rate ya Mil 4.
Ni muhimu na ni haki watu hawa walipwe fidia stahiki.
Mama wewe ni mtu wa haki hawa wenye umiliki halali kisheria walipwe fidia ya ardhi.
Malalamiko yamekuwa ni mengi.