Rais Samia, usipofanya haya wewe na chama chako mtaanguka vibaya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025

Mama atapata mi5 tena endapo atasimamia katiba, sheria na sera za chama chake kikamilifu. Bila hivyo huenda 2025 ikawa ndo byee byee

Mama atekeleze ilani kwani kuna hela? Ndani ya miaka mitano Magufuli kapandisha deni la taifa kwa 20t zaidi, kwa kukopa ili kusaka sifa za kisiasa. Hakuna hela za kutosha kukamilisha hiyo miradi miwili mikubwa, labda akope hela nyingi zaidi.

Halafu ccm ilipofikia haitegemei tena kushinda kwa kura, bali inategemea wizi wa kura, unyama, ukatili na uhayawani wa wazi. Na mambo yote haya yanafanyika kwa kuratibiwa na vyombo vya dola na tume ya uchaguzi. Hivyo ccm hata isipotekeleza ile list ndefu ya kila hitaji la mwanadamu mliyoita ilani, itakaa mada kwa shuruti, kwani kwa sasa wananchi wengi hawajitokezi tena kupiga kura baada ya kupuuza huo uhuni uitwao uchaguzi. Hapa tulipo machafuko tu ya kuitoa ccm pekee ndio yataleta suluhu.
 
Kwenye Siasa, mwezi mmoja ni mrefu sana sasa kwa embu fikiria urefu wa miaka mitatu au minne!


Acha kupoteza muda kuanza kujipa utabiri wa mwaka 2025.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…