Wale waliingia makubaliano na CCM na yakawa binded, kwa hiyo mama anasita kidogo kuwatimua bungeni sababu kwa kufanya hivyo anakuwa anakwenda kinyume na maamuzi ya chama chake, ni lazima aheshimu yaliyoamuliwa na mtangulizi wake.
Hapa ndipo ugumu ulipo, maslahi ya CCM kwanza.