Rais Samia -"wanasiasa wajanja", Nyerere "wanasiasa wanyonyaji"-'kupe"

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.

Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"

Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.
 
Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja " wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.

Nyerere aliwaita majina sahihi kabisa. !
 
Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja " wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.

Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"
Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.
Labda kuna uhusiano na urefu wa kamba zao.
 
Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.

Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"

Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.
Samia nayeye atakuwa nimiongoni mwa haohao kwanini asiamuru mkulima kuuza mazao kokote atakako Kama na yeye siye hao?

Mkulima akiuza mahindi Kenya yeye Ana pungukiwa nini Kama sio Hera ya udalali?

Mkulima akiuza Zambia yeye Ana pungukiwa nini Kama sio Hera ya udalali?

Au labda Wana jua hatujui mkataba wa kitu dalalia walio ingia na Zambia na baadae na kenya?
 
Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.

Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"

Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.
Tunahitaji solution si maneno matupu.
 
Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.

Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"

Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.
Nyi nyi watu msiojuwa matumizi sahihi ya misamiati ya kiswahili.
Biashara ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi.
haijalishi ufahamu wake wa soko kuwa zuri au baya,kinachotazamwa ni makubaliano ya muuzaji na mnunuzi yasiyo na shinikizo.

Biashara zenu hizo za Stakabadhi Ghalani ni aina ya Utapeli wa kimkakati.

Panapopatikana maridhiano ,hapo hapa kuitana wizi wala mnyonyaji, bali endapo utapata kwa bei ya chini huo ni Ujanja wa mnunuzi na ujinga wa muuzaji.
haya maneno ni sahihi
 
CCM ni matapeli, kwa kuleta stakabadhi ghalani, right?
 
Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.

Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"

Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.
 
Attachments

  • IMG-20240806-WA0047.jpg
    IMG-20240806-WA0047.jpg
    49.3 KB · Views: 4
Back
Top Bottom