Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Nyerere aliwaita majina sahihi kabisa. !Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja " wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.
Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"
Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.
Majina ya sasa hivi "yanawafanya waendeleeNyerere aliwaita majina sahihi kabisa. !
Kabisa kabisa eti wajanja wa mjini !Majina ya sasa hivi "yanawafanya waendelee
Yy mama yetu anawaita wajanjaa 😔😔😔 Kwa mantiki hyo wamemshinda ujanjaa cyo..Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"
Labda kuna uhusiano na urefu wa kamba zao.Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja " wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.
Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"
Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.
Yes, Sisi ndio tulianza kuwaita wajanja, mtu akiajiriwa ndani ya mwaka akinunua gari, akinunua kiwanja tunamwita mjanja, "mwizi, mla rushwa , fedhuli na kupe"Yy mama yetu anawaita wajanjaa 😔😔😔 Kwa mantiki hyo wamemshinda ujanjaa cyo..
Naomba jina baya zaidi , haiwezekani kuwaita majizi.Kabisa kabisa eti wajanja wa mjini !
Badala ya kuitwa majizi ya mjini !
Samia nayeye atakuwa nimiongoni mwa haohao kwanini asiamuru mkulima kuuza mazao kokote atakako Kama na yeye siye hao?Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.
Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"
Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.
Tunahitaji solution si maneno matupu.Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.
Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"
Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.
Na solution nikupewa Uhuru wa masoko sio kupangiwa ni wiziTunahitaji solution si maneno matupu.
"kwamba Mama ana maneno matupu? sidhani, !Tunahitaji solution si maneno matupu.
Nyi nyi watu msiojuwa matumizi sahihi ya misamiati ya kiswahili.Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.
Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"
Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.
CCM ni matapeli, kwa kuleta stakabadhi ghalani, right?Nyi nyi watu msiojuwa matumizi sahihi ya misamiati ya kiswahili.
Biashara ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi.
haijalishi ufahamu wake wa soko kuwa zuri au baya,kinachotazamwa ni makubaliano ya muuzaji na mnunuzi yasiyo na shinikizo.
Biashara zenu hizo za Stakabadhi Ghalani ni aina ya Utapeli wa kimkakati.
Panapopatikana maridhiano ,hapo hapa kuitana wizi wala mnyonyaji, bali endapo utapata kwa bei ya chini huo ni Ujanja wa mnunuzi na ujinga wa muuzaji.
haya maneno ni sahihi
Katika Ziara za mheshimiwa wetu Samia huko Morogoro "amesema kuna wanasiasa "wajanja" wanaonunua mazao kwa ei ya chini na hivyo kuelekeza bei zipandishwe.
Nyerere aliwaita "kupe, wahujumu uchumi, mafedhul na mabaradhuli"
Kuwaita wajanja unawapa uhalali wa kuendela kufanya wafanyalo na kuona wapo sawa.