Rais sio mama aliyewanyonyesha watanzania. Anatakiwa asimamie nchi kwa mujibu wa katiba. Sio akikosea asikosolewe kisa ni mwananamke

Mama ni mama kwa wanae . Kwetu alichotaka Ni urais so afanye hilo.wazazi mbona tunao. BTW tunajua Ni mwanamke hatuhitaji atuambie. Urais hauna jinsia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…