celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,330
- 1,059
Mheshimiwa Rais katika hali ilivyo ni vigumu kuvunja mkataba na Akbar. Hebu fikiria ku 'confiscate' yale majengo kwa faida ya umma maana ni jipu lisilobebeka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaipenda nchi yangu na kuchukia mijiziKweli unaipenda NSSF
Mbona Nssf qana hisa kubwa zaidi?Mheshimiwa rais katika hali ilivyo ni vigumu kuvunja mkataba na Akbar. Hebu fikiria ku 'confiscate' yale majengo kwa faida ya umma maana ni jipu lisilobebeka.
Mheshimiwa rais katika hali ilivyo ni vigumu kuvunja mkataba na Akbar. Hebu fikiria ku 'confiscate' yale majengo kwa faida ya umma maana ni jipu lisilobebeka.
DauHao dege ndiyo nani?
Watanzania ni watu waajabu sana. Huku mnalalamika na mnashabikia wale ambao waliomba mikopo ya elimu ambayo hawajairejesha na huku mnamuomba rais amnyang'anye mali mwekezaji bila uthibitisho wowote ule unaeleza kuwa amepata mali hizo kinyume na sheria. Jee hiki mnachomuomba rais afanye siyo udikteta???? Halafu ni nyinyi mnaolalamika kuwa rais wetu ni dikteta. Ajabu sana.Mheshimiwa rais katika hali ilivyo ni vigumu kuvunja mkataba na Akbar. Hebu fikiria ku 'confiscate' yale majengo kwa faida ya umma maana ni jipu lisilobebeka.
Mi ningekuwa pombe fasta ningeshatia mkononi na kuwapa wazawa wayamalizie ziwe kota za jeshi la polisiLile ni jipu sasa ni miezi nane hakuna kinachoendelea ni hasara mbaya,tumia MAMLAKA ulonayo utaifishe MH rais
Huwezi kuwa kwani hana roho ya mkato kama yako! Huko uliko unaonekana kuwa mzigo na huenda ulipachikwa hapo baada ya jambo fulani kutolewa kama takrima hususani kutoka kwako! Akbar ni mwekezaji na ana mtaji wake na nguvu zake kwenye mradi huo bila kujali alikopa wapi kwa riba ya kiasi gani! Kukurupuka huko unakokurupuka kushawishi ujinga hakuisaidii nsff wala serikali bali kumfaidisha Akbar endapo makosa yatafanyika.Mi ningekuwa pombe fasta ningeshatia mkononi na kuwapa wazawa wayamalizie ziwe kota za jeshi la polisi
Huwezi kuwa kwani hana roho ya mkato kama yako! Huko uliko unaonekana kuwa mzigo na huenda ulipachikwa hapo baada ya jambo fulani kutolewa kama takrima hususani kutoka kwako! Akbar ni mwekezaji na ana mtaji wake na nguvu zake kwenye mradi huo bila kujali alikopa wapi kwa riba ya kiasi gani! Kukurupuka huko unakokurupuka kushawishi ujinga hakuisaidii nsff wala serikali bali kumfaidisha Akbar endapo makosa yatafanyika.
Kaanzisheni mradi wenu kama mnafikiri ni rahisi!
Alivyo chiz..ostomiasis anaweza kutaifisha kweli.Mheshimiwa rais katika hali ilivyo ni vigumu kuvunja mkataba na Akbar. Hebu fikiria ku 'confiscate' yale majengo kwa faida ya umma maana ni jipu lisilobebeka.
Huu mfuko ni moja ya mifuko ya wizi/ujambazi kabisa, wanachama wanachangia michango yao kwa miaka hadi 45 ila wanachokuja kupata ni aibu kabisa. pia pension kwa mwezi ni aibu tupu. Mijizi inaingia mikataba ya kijambazi ili tu wapige 20%. Dau alitakiwa anyongwe kabisa. Nina uchungu we acha tu! Mfuko mwingine ni ppf.