Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Swali zuri comrade!Utakuta Kuna vijimtu humu vilikua vinasema Ukraine inapigana peke yake dhidi ya Urusi,Sasa Hawa Afisa wa Pentagon wanaoondolewa walikua wanafanya Nini Ukraine?
Jamani Urusi ni dude kubwa mno.
U.S. President Donald Trump said on Jan. 21 that he would likely impose additional sanctions against Russia if Russian President Vladimir Putin fails to negotiate a peace deal with Ukraine.Swali zuri comrade!
KUMBE WALIKUWEPO UKRAINE.View attachment 3209812
Rasmi, Rais Trump ameanza kuwaondoa Maafisa wa Pentagon waliopo Ukraine na wahusikao na misaada pia kwa Ukraine.
Hiyo ni kwa mujibu wa Vyombo vya habari huko Kiev.
CC: kip kipanya44Utakuta Kuna vijimtu humu vilikua vinasema Ukraine inapigana peke yake dhidi ya Urusi,Sasa Hawa Afisa wa Pentagon wanaoondolewa walikua wanafanya Nini Ukraine?
Jamani Urusi ni dude kubwa mno.