Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
ISLAMOPHOBIA is real among us...This is too funny!
Kungekuwa hakuna video mtu anaweza kubisha na kusema huo ni utani.
Ila, huo si utani. Ni kweli kabisa.
Jana Rais Trump kawafuturisha wafuasi wa mtume Mohamed 😂.
View: https://youtu.be/U1_KUdYkuEg?si=aQi-sV-a4zNLG_W2
Are you an Islamophobe?ISLAMOPHOBIA is real among us...
Mbona unatumia ushabiki Kwa stori hii??!!! Mwanzo ulipoanza kuweka hii stori ulishaeleweka, ulipozisi.kuandika.ukaona tuweke chumci zaidi ukiamini unqnigeahankumbe.........This is too funny!
Kungekuwa hakuna video mtu anaweza kubisha na kusema huo ni utani.
Ila, huo si utani. Ni kweli kabisa.
Jana Rais Trump kawafuturisha wafuasi wa mtume Mohamed 😂.
View: https://youtu.be/U1_KUdYkuEg?si=aQi-sV-a4zNLG_W2
Na msimamo wa White house ni kwamba Hamas na Houthi na Hezbollah ni magaidi.Chakula kikuu cha white house ni kitimoto rosti
Si huwa wanasema kula vya makafri ni haram au kuna aina maalumu?Jana Rais Trump kawafuturisha wafuasi wa mtume Mohamed 😂.
Futari ya Kafiri unashiriki vipi wewe Mwislamu swafi?
Shiriki,kisha Nena nae taratiibu afate njia sahihi.Si huwa wanasema kula vya makafri ni haram au kuna aina maalumu?
Kafiri ni mtu anayepinga uungu wa mwenyezi Mungu,hata afuturishe dunia nzimaHii inamaanisha Trump sio Kafir
Kwa maana Kafir hawezi kumfuturisha Muislam
Na ndizi zile mzuzuChakula kikuu cha white house ni kitimoto rosti
Mtu anayepinga uungu wa mwenyezi Mungu anaisaidie Dunia mara elfu kuliko ninyi mnaomuunga Mkono mwenyezi Mungu.Kafiri ni mtu anayepinga uungu wa mwenyezi Mungu,hata afuturishe dunia nzima
Haijalishi, huwezi kuuepuka ukafiri kisa unausaidia ulimwengu,kama unapinga uungu wa mwenyezi Mungu we bado ni kafiri tu na vitendo vyako vyema vimeanguka patupuMtu anayepinga uungu wa mwenyezi Mungu anaisaidie Dunia mara elfu kuliko ninyi mnaomuunga Mkono mwenyezi Mungu.
Hiyo kwako unaichukuliaje?
Ni swahiba wa kufa na kuzikana wa Israel huyu mlokoleTrump ni swahiba mkubwa wa Saudi Arabia na Qatar kwa sababu wanampa pesa nyingi sana.