Rais Trump akutana na gaidi aliyekuwa akitafutwa kwa udi na uvumba na CIA

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Jamaa ukikubali sera zao hauwezi kuitwa Gaidi, hao wote aliosimama nao ni magaid,MBS alitoa amri ya kuuliwa Jamal khashongy na huyo mwingine ameua watu wengi sana.
Kweli MBS alimfyeka Jamal kama ng'ombe kwenye maduka ya kuuzia nyama tena unaweza sema ng'ombe ana hafadhali maana Jamal waliteketeza kila kitu.

MBS ana damu za watu za kutosha kuanzia ndugu zake
 
"Show me the man, I’ll find you the crime,” msemo aliosema Lavrenty Beria, aliyekuwa chief wa Soviet secret police chini ya Josef Stalin. Ndiyo msemo ambao CIA na serikali ya marekani wanaoutumia
 
US na Israel wao ndio magaidi huyo sababu alikuwa against nao, sa kisha kuwa Puppet wao hawawezi muita gaidi hata siku moja.
 
"Show me the man, I’ll find you the crime,” msemo aliosema Lavrenty Beria, aliyekuwa chief wa Soviet secret police chini ya Josef Stalin. Ndiyo msemo ambao CIA na serikali ya marekani wanaoutumia
Beria aliua watu wengi sana kwa kutumia NKVD. Ila naye siku Stalin amezikwa alihukumiwa ghafla ghafla na kina Kruschev. Akauwawa
 
Kweli MBS alimfyeka Jamal kama ng'ombe kwenye maduka ya kuuzia nyama tena unaweza sema ng'ombe ana hafadhali maana Jamal waliteketeza kila kitu.

MBS ana damu za watu za kutosha kuanzia ndugu zake
Hivi braza tuliishia wap tena
 
Jamaa ukikubali sera zao hauwezi kuitwa Gaidi, hao wote aliosimama nao ni magaid,MBS alitoa amri ya kuuliwa Jamal khashongy na huyo mwingine ameua watu wengi sana.
Khashogy alikua akipanga mapinduzi na moja wa ma-prince wa saudia,akiwa na Jeff bezoz nyuma,mbs alipopata namba ya bezoz akatuma tracking app kupitia msg ya whatsapp,akayajua yote, hakuna mtawala atakayemuacha hai mtu atushiae mamlaka yake
 
Trump baada ya kupanda ndege kamsifia jawlan kuwa attractive and muscular,dingi sijui kinyeo kinawasha uzeeni!
 
Marekani haina rafiki wala adui wa kudumu. Wanayo maslahi yao ya kudumu! Hata Osama Bin Laden kuna kipindi alikuwa mtu wao sana, tena CIA walimpa mafunzo na kumpa fedha za kutosha kule Afghanistan ili apambane na majeshi ya Soviet Union.
 
Khashogy alikua akipanga mapinduzi na moja wa ma-prince wa saudia,akiwa na Jeff bezoz nyuma,mbs alipopata namba ya bezoz akatuma tracking app kupitia msg ya whatsapp,akayajua yote, hakuna mtawala atakayemuacha hai mtu atushiae mamlaka yake
Sasa mtu anauliwa kwenye ubalozi kabisa ,kuja CCTV camera
 
Kweli MBS alimfyeka Jamal kama ng'ombe kwenye maduka ya kuuzia nyama tena unaweza sema ng'ombe ana hafadhali maana Jamal waliteketeza kila kitu.

MBS ana damu za watu za kutosha kuanzia ndugu zake
MBS na hio smile yake ya kila mara huwa inaficha mengi sana
 
Hata Bin Laden alikuwa mshirika wao enzi za uvamizi wa USSR kule Afghanistan.

Saddam Hussein pia alikuwa mshirika wao enzi za vita vya Iran na Iraq.
 
Jamaa ukikubali sera zao hauwezi kuitwa Gaidi, hao wote aliosimama nao ni magaid,MBS alitoa amri ya kuuliwa Jamal khashongy na huyo mwingine ameua watu wengi sana.
Trump na yeye kaua watu wengi tu kupitia ufadhili wao kwa makundi mengi ya kigaidi ambayo yanatetea uwizi wa marekani dhidi ya rasilimali za nchi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…