Rais Trump akutana na gaidi aliyekuwa akitafutwa kwa udi na uvumba na CIA

"Show me the man, I’ll find you the crime,” msemo aliosema Lavrenty Beria, aliyekuwa chief wa Soviet secret police chini ya Josef Stalin. Ndiyo msemo ambao CIA na serikali ya marekani wanaoutumia
Sijaelewa! Uso kwa uso na gaidi? Si amdake hapo hapo? Marekani na gaidi ni vitu viwili tofauti.
 
Picha kama hizi inabidi wawe wanaoneshwa viongozi wa Chadema wanaoenda kumshitaki Samia Umoja wa Ulaya.

Huyu Al-Sharaa mwezi wa watu askari wake waliua watu zaidi ya 1000 tena kwa kukata vichwa. Yaani Chadema hawaonewi kabisa, wanadeka sana
 
Tuanzee na mme wako. Mama yako na ndugu zako mia kukatwa kichwa alafu usilalamike unaonewa. Wewe ninshetani.
 
Upo sahihi
 
Tuanzee na mme wako. Mama yako na ndugu zako mia kukatwa kichwa alafu usilalamike unaonewa. Wewe ninshetani.
Anacho maanisha ni kuwa wazungu hawajali kuhusu mateso yenu bali maslahi yao tu kama maslahi yao wanayapata chini ya CCM usifikiri watajali lolote kuhusu Chadema.

Huyo hapo PK ana mashtuma kibao Congo lakini wazungu hawaja mtenga kwa sababu ana kula nao.
 
Sijaelewa! Uso kwa uso na gaidi? Si amdake hapo hapo? Marekani na gaidi ni vitu viwili tofauti.
Msemo una maanisha matumizi mabaya ya madaraka kwamba haijalishi kama ni muarifu au hapana ila wakiamaua wewe ni muarifu basi utakuwa muarifu.
Mfano unabifu na mtu fulani hivyo anaongea na askari unakamtwa kisha unapewa kesi yoyote ile
 
Walikuwa wanamlia target nini 😃😃😃
Alikuwa anataka awazunguke wenzake awe Premier, ila wote walikuwa wana wasiwasi nae. Mtu ni bora aongozwe na adui yake lakini anajua huyo mtu ana haki, busara na uwezo. Sasa Beria ni adui asiye na vyote hivyo na ni roho mbaya sana.

Kwa vile alikuwa chawa wa Stalin na mtu pekee anayeaminiwa nae maana wote ni wazama wa Georgia. Basi wazawa wa Russia na Ukraine walikuwa hawampendi maana alikuwa anatengeneza mashtaka hewa ya watu wanaokujakuja nafasi za juu.

Stalin alikuwa mwoga mwenye hofu na machale kiholela alikuwa anaamua tu huyu mtu amekuwa maarufu tumuue au tumfunge, anampa kazi Beria. Hata uwe malaika Beria akikutafutia kesi anaipata.
 
"Show me the man, I’ll find you the crime,” msemo aliosema Lavrenty Beria, aliyekuwa chief wa Soviet secret police chini ya Josef Stalin. Ndiyo msemo ambao CIA na serikali ya marekani wanaoutumia
Dah umenikumbusha mwamba Beira a.k.a "the soviet himler" huyu ndo aliutendea haki huo msemo kwa kiswahili kisicho rasmi tunasema
"Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya" jamaa alikuwa mkuu wa NKVD...enzi hizo... hadi stalin mwenyewe alimgwaya akamwambia binti yake kaa mbali na huyu mtu"
 
Syria ilikua ni miongoni mwa nchi zanazosumbua Israel,Kupitia Saudia Syria inatengenezwa kiuchumi na kijeshi kuhakikisha haiwi tena tishio kwa Israel.
Huyo gaidi wa Al-qaida ndio Rais wa sasa wa Syria.

Mfalme wa kwanza wa Saudia Abdulaziz bin Saud alikua na asili ya kiyahudi alioa wake wengi kutoka makabila mbalimbali ya Saudia ili kujizatiti na kukubalika zaidi kwenye makabila makubwa na madogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…