Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwahiyo Trump ndio alilianziasha mbinguni akatupwa duniani, kwa hiyo mzee mzima llong time sana hapa dunianiTrump ndio ibilisi mwenyewe tunaemsoma kwenye vitabu.
America ndio tabia zao raisi kwao ni kama mkulima tu wala sio tishio kwa raiya wake kama jinsi tulivyojengewa na watawala wa nnchi nyingi AfricaDuh!
Huyo mwananchi anajiamini nini
Hahaha!