johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Nadhani alikuwa hajapokea Agrément bado...Tanzania iko nyuma sana kupata taarifa. Huyu jamaa kawekwa kama possible nominee kwa hii post ya Tanzania. Amewekwa toka 29 Oct. Ukipitia kwenye state.gov utaona taarifa hii
Hujaona hapo mwisho umeambiwa ni juhudi za Prof wa JalalaniKuna watu watapongeza Juhudi za JPM.
HahahahahaAsante rais magufuli kwa hili.
Bora yule mama aliyekaimu Ubalozi wa USA aondolewe mara moja nchini alikuwa anatumika na wanasiasa kutoa matamko ya kipuzi
Hatimaye Rais Trump wa Marekani ameteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo nchini Tanzania.
Kwa kipindi cha takribani miaka mitatu nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na afisa wa ubalozi huo.
Source: Mwananchi
My take; Naona haya ni matunda ya kikao kifupi cha Rais Trump na Prof Palamagamba Kabudi
Laana isiyo kubaliwa.Hawajaleta tu Balozi kama Balozi bali wameleta pia Jasusi ambaye kama tusipoacha huu Upuuzi wetu hasa wa Kidemokrasia unaoendelea sasa Tanzania huenda huyo ndiyo akawa Mjumbe muhimu wa Rais Trump katika Kutusemea Kwake kisha Marekani ikatugeukia na Watanzania tukaanza Kutafutana kwa matatizo ya Kiuchumi. Hakuna asiyejua kuwa Tanzania inapata misaada mingi, mbalimbali na ya katika Nyanja muhimu kutoka kwa Taifa la Marekani. Tukimtumia vyema huyu Balozi atakuwa na Msaada Kwetu hasa katika Sekta muhimu ila Kinyume na hapo ni huyu huyu Balozi ndiyo atakuwa Chachu ya Kutuumiza.
No doubtHatimaye Rais Trump wa Marekani ameteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo nchini Tanzania.
Kwa kipindi cha takribani miaka mitatu nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na afisa wa ubalozi huo.
Source: Mwananchi
My take; Naona haya ni matunda ya kikao kifupi cha Rais Trump na Prof Palamagamba Kabudi
Hongera JPM