Rais Trump ateua balozi wa Tanzania baada ya miaka mitatu

Tanzania iko nyuma sana kupata taarifa. Huyu jamaa kawekwa kama possible nominee kwa hii post ya Tanzania. Amewekwa toka 29 Oct. Ukipitia kwenye state.gov utaona taarifa hii
Wewe unataka hata sisi nasi tena tuwe mbele kwa kupata taarifa za Marekani? Unadhani hiyo ndiyo prioriy yetu kwa sasa? Hudhani kuwa wewe uliyeko huko unatosha kutupatia hizi secoond hand information, mpaka na sisi tuingie deep kuzitafuta? Hii Nchi nimeshasema kuna baadhi yetu tunahitaji kuombewa na watumishi wa Mungu, hasa watu kama wewe unayeonekana KAMA mmesoma sana!
 
Ukinunua ndege cash na wewe unakuwa mkubwa mkubwa kama wao, sasa wataanzaje kukunyima balozi
 
Kwa miaka yote hapajawahi kuwa na barozi wa Marekani hapa nchini
 
Tanzania iko nyuma sana kupata taarifa. Huyu jamaa kawekwa kama possible nominee kwa hii post ya Tanzania. Amewekwa toka 29 Oct. Ukipitia kwenye state.gov utaona taarifa hii
Tanzania iko nyuma au wewe ndo uko nyuma?
 
Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu ndio Trump analeta balozi. Ama mahusiano yetu yamekuwa mazuri zaidi au anataka atufahamu vizuri kwenye harakati za KIJECHA. Sijui ni lipi tuwe makini.
 
Kwahiyo vijana wa ccm wanasema ni juhudi za mzee
 
Tanzania iko nyuma sana kupata taarifa. Huyu jamaa kawekwa kama possible nominee kwa hii post ya Tanzania. Amewekwa toka 29 Oct. Ukipitia kwenye state.gov utaona taarifa hii
👍 👍
 
hongera JPM kwa kumshauri vyema huyo beberu.
 
Ila MATAGA bana wanafurahisha sana comments zao,,, 😀 😀 😀 😀 😀
 
Akili za chadema bana
 
Tunakushukuru Rais wetu kipenzi John Pombe Joseph Magufuli kwa uongozi wa Kidemokrasia uliofanya marekani waone ipo haja ya kuteua Balozi haraka.
 
Karibu balozi Don J. Wright, akipewa ushirikiano mzuri na serikali (ya Tanzania) itafaidika na utaalamu wake wa magonjwa ya binadamu. Tanzania inasumbuliwa na magonjwa mengi yanayohitaji wadau wa maendeleo kuchangia uzoefu na utaalamu ili kupambana na adui maradhi.

Pia kuwa na balozi kamili wa Marekani hapa Tanzania , masuala ya utawala bora, demokrasia na haki za binadamu kuelekea Tanzania ya mwaka 2020 kwenda mbele yataangaziwa kwa karibu na huyu mteule wa Donald Trump .
5 Jun 2019
Presentation from Assistant Secretary of Health Don Wright, Deputy Assistant Secretary for Health, Director, Office of Disease Prevention and Health Promotion, U.S. Department of Health and Human Services.
Source: NASEM health & medicin ..

More info:

Washington DC.

NOMINATIONS & APPOINTMENTS

President Donald J. Trump Announces Intent to Nominate Individuals to Key Administration Posts
Issued on: September 30, 2019
Donald Wright of Virginia, to be Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary of the United States of America to the United Republic of Tanzania.

Don J. Wright, M.D., MPH, a career member of the Senior Executive Service, is Deputy Assistant Secretary for Health and Director of the Office of Disease Prevention and Health Promotion at the Department of Health and Human Services (HHS). His career at HHS includes service as Acting Assistant Secretary for Health and Acting Executive Director of the President’s Council on Sports, Fitness, and Nutrition. Dr. Wright developed and implemented the National Action Plan to Reduce Healthcare Associated Infections and Healthy People 2020, the Nation’s framework for disease prevention and health promotion initiatives. Before joining the government as Director of the Office of Occupational Medicine at the Department of Labor, he was a clinician in Texas for 17 years. Dr. Wright received his B.A. at Texas Tech University in Lubbock, Texas, and his M.D. at the University of Texas Medical Branch, Galveston, Texas. He received an MPH at the Medical College of Wisconsin in Wauwatosa. He was honored by the American College of Preventive Medicine in 2019.
Source: President Donald J. Trump Announces Intent to Nominate Individuals to Key Administration Posts | The White House


 
Pia Tanzania sasa hivi ni mdau wa kiuchumia wa Marekani. Tumenunua mandege kibao kwa cash. Kitu ambacho hakiwezwi na nchi yoyote Afika isipokuwa Tanzania chini ya jiwe John Pombe Joseph Magufuli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…