Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
Kwahiyo awamu zingine hatukuwa na balozi wa Marekani kwasababu CCM hawakuwa na ndege?Ukinunua ndege cash na wewe unakuwa mkubwa mkubwa kama wao, sasa wataanzaje kukunyima balozi
Na mimi nauliza kama wewe, ngoja hao CCM waje watupe majibuKwahiyo awamu zingine hatukuwa na balozi wa Marekani kwasababu CCM hawakuwa na ndege?
Wewe hakuna unachofahamu hapo, weka macho.Hatimaye Rais Trump wa Marekani ameteua balozi atakayeiwakilisha nchi hiyo nchini Tanzania.
Kwa kipindi cha takribani miaka mitatu nafasi hiyo ilikuwa ikikaimiwa na afisa wa ubalozi huo.
Source: Mwananchi
My take; Naona haya ni matunda ya kikao kifupi cha Rais Trump na Prof Palamagamba Kabudi
Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu ndio Trump analeta balozi. Ama mahusiano yetu yamekuwa mazuri zaidi au anataka atufahamu vizuri kwenye harakati za KIJECHA. Sijui ni lipi tuwe makini.
Wapi?Magufuli anakubalika sana
Ha ha haHongera mtukufu mheshimiwa rais Dr. Pombe kwa USA kuteua balozi wao hapa Tanzania.
Kuna watu watapongeza Juhudi za JPM.
Kuna watu watapongeza Juhudi za JPM.
CCM ndo wako nyuma, siyo TanzaniaTanzania iko nyuma sana kupata taarifa. Huyu jamaa kawekwa kama possible nominee kwa hii post ya Tanzania. Amewekwa toka 29 Oct. Ukipitia kwenye state.gov utaona taarifa hii
wewe kila mtu aliye against na CCM ni mpuuzi ivi huo ujinga umeununua?Bora yule mama aliyekaimu Ubalozi wa USA aondolewe mara moja nchini alikuwa anatumika na wanasiasa kutoa matamko ya kipuzi
Kama hamwelewi kitu bora mnyamaze, Marekani sera yake ni kuweka balozi ktk kila nchi duniani kasoro Iran, North Korea na labda Venezuela, hata Zimbabwe na Somalia wana mabalozi.Asante sana Mheshimiwa, Dokta. Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania , Daktari John Joseph Pombe Magufuli kazi zako zinaonekana hadi wameamua wamarekani walete balozi wao wenyewe