#COVID19 Rais Trump awarejesha kazini Watumishi na Wanajeshi waliogoma kuchanja COVID-19

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hii ndio taarifa Njema kwetu sisi Walinda legacy ya shujaa Magufuli

Ni kwamba Rais Trump wa Marekani ameagiza kurejeshwa kazini Watumishi na Wanajeshi wote waliondolewa kazini na Utawala wa Biden Kwa sababu ya kutochanja Chanjo za COVID-19

Trump ameagiza Walipwe malimbikizo yote ya Mishahara na Posho

Mungu wa Mbinguni mbariki Komredi Polepole 😂

RIP shujaa Magufuli 🌹
 
Nyie waabudu magu, belarus huko ulaya haikufungia watu ndani kipindi cha covid,hiyo ni kabla covid haijafika tz
 
Tunaambiwa Magufuli alikufa kwa corona kwa sababu ya kudharau corona kwa kutokuchanja, ila nikakumbuka Trump nae alipata corona.
 
Hii ndio taarifa Njema kwetu sisi Walinda legacy ya shujaa Magufuli

Ni kwamba Rais Trump wa Marekani ameagiza kurejeshwa kazini Watumishi na Wanajeshi wote waliondolewa kazini na Utawala wa Biden Kwa sababu ya kutochanja Chanjo za COVID-19

Trump ameagiza Walipwe malimbikizo yote ya Mishahara na Posho

Mungu wa Mbinguni mbariki Komredi Polepole 😂

RIP shujaa Magufuli 🌹
R. I. P JPM. Hakika ulikuwa shujaa kweli kweli.
 
Back
Top Bottom