johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Haya Trump amekusikia πNyie waabudu magu, belarus huko ulaya haikufungia watu ndani kipindi cha covid,hiyo ni kabla covid haijafika tz
R. I. P JPM. Hakika ulikuwa shujaa kweli kweli.Hii ndio taarifa Njema kwetu sisi Walinda legacy ya shujaa Magufuli
Ni kwamba Rais Trump wa Marekani ameagiza kurejeshwa kazini Watumishi na Wanajeshi wote waliondolewa kazini na Utawala wa Biden Kwa sababu ya kutochanja Chanjo za COVID-19
Trump ameagiza Walipwe malimbikizo yote ya Mishahara na Posho
Mungu wa Mbinguni mbariki Komredi Polepole π
RIP shujaa Magufuli πΉ
Kwa hili nampongeza sana japo hatujui alipopelekwa Malawi alipokelewaje maana nao waliwehukaMungu wa Mbinguni mbariki Komredi Polepole π