Rais Trump azindua Golden VISA itakayowapa matajiri uwezo wa kuwa raia wa Marekani

Rais Trump azindua Golden VISA itakayowapa matajiri uwezo wa kuwa raia wa Marekani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Katika kuimarisha uchumi wa Marekani, Rais Trump amezindua leo Golden Visa ambayo itakuwa ikiuzwa.

Visa hiii ni ktk mwendelezo wa kuimarisha uchumi wa Marekani.

Alipoulizwa wafanyabiashara wa Urusi wanaruhusiwa kununua akasema haina ubaguzi.

Anahitaji helà mwenye helà atapata VISA

Baba kaamua kazi kwelikweli.
 
Cc
 
Attachments

  • IMG_20250226_192701_666.jpg
    IMG_20250226_192701_666.jpg
    380.2 KB · Views: 1
  • IMG_20250226_192655_335.jpg
    IMG_20250226_192655_335.jpg
    396.4 KB · Views: 1
  • IMG_20250226_192653_981.jpg
    IMG_20250226_192653_981.jpg
    351.2 KB · Views: 1
Elon Musk atakuwa ndio masterminder
 
Katika kuimarisha uchumi WA Marekani

RAISI trump amezindua Leo Golden visa AMBAYO itakuwa ikiuzwa

Visa hiii n ktk myendelezo WA kuimarisha uchumi WA Marekani

Alipoulixwa wafanyabiashara WA urusi wanaruhusiwa kununua akasema Haina ubaguzi

ANAHITAJI helà mwenye helà atapata visa

Baba kaamua kazikwelikweli
Businessman.
 
trump kama magufuli
 
Hiyo labda uwe fisadi na mwizi wa madini na rasilimali za nchi ndio utaweza kuinunua.

Ukiwa mwajiriwa just forget about it..🤣
 
Sijui ni ushamba, hivi dollar 5m kununua tu uraia naenda kufuata Nini huko USA si nitakuwa naenda kutembea tu.
 
Sijui ni ushamba, hivi dollar 5m kununua tu uraia naenda kufuata Nini huko USA si nitakuwa naenda kutembea tu.
kwani wale wanaopambana kupata Green card kila mwaka wanafuata nini huko marekani.!
 
Sijui ni ushamba, hivi dollar 5m kununua tu uraia naenda kufuata Nini huko USA si nitakuwa naenda kutembea tu.
And this is what Trump wants; to phase out takataka kama hizi zinazoijaza Marekani without any value.
 
Back
Top Bottom