Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hiyo inaitwa danganya toto, tunawahamisha Wapalestina Kwa Muda, wanaenda Saudia ili tuwajengee kagaza kazuuuuuuri katamuuu kana maghorofa ya kunesanesa ,viwanja vikali , kagaza kama Paris vile , alafu mtarudi baadae eehhh sawa Wapalestina 🤣🤣🤣
Hamrudi Ng'ooooo , ndo itakua imeishaa !!
The Greater Israel lazima irudi kuwapo kabla ya Ujio wa YESU KRISTO MUNGU ALIYE HAI MILELE NA MILELE ( Kwa Wayahudi wao wanamuita MASIHI ).
Kwa msioelewa, Wayahudi wanaamini Ujio wa MASIHI ni lazima kwao Hekalu liwe limejengeka, na Hekalu kujengeka ni lazima Taifa la Israel kijiografia, liwe lile lililoko kwenye Maandiko yao !!.
Bye bye Gaza