Rais Trump : Wamarekani Kuajiriwa au kupandishwa vyeo kwa kuzingatia Uwezo wako na sio Jinsia yako

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Njoo Bongo, Kuna mapambio Kila siku , Si Wanawake Si Wanaume wa bongo walioko vyaman wao wameamua kua machawa Pro Max .

Na kweli bana,Uchawa Kwa Bongo unalipa.

Wao wana msemo wao ukitaka kutoka lazima umsifie aliyetoka.

Matokeo yake kuanzia majeshini, Mahakaman, Wizaran Bungeni ,Kila Mahali ni uchawa tuu .
 

Yupo sahihi kabisa, hajakosea katika hili.
 
Hii inatakiwa ije bongo, efficiency imbebe mtu
 
Naunga mkojo. Trump yuko sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…