Rais Tshisekedi ateua viongozi waliowahi kufungwa jela kuwa Mawaziri

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
L4WFOZBLEVK37MXSWIBCIZ4EQA.jpg
Walioteuliwa ni pamoja na Jean-Pierre Bemba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais kwenye Serikali ya #JosephKabila na kiongozi wa Waasi kuwa Waziri wa Ulinzi. Bemba aliwahi kushikiliwa na Mahakama ya Uhalifu wa Kivita (ICC) kwa miaka 10.

Mwingine ni Vital Kamerhe ambaye anakuwa Waziri wa Uchumi. Aliwahi kuwa Mkuu wa Wafanyakazi kwenye Serikali ya Tshisekedi na na aliwahi kufungwa jela miaka 20 mwaka 2020 kutokana na ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 117 za Mpango wa Rais wa Uchumi.

Kwa mujibu wa Msemaji wa Rais, uteuzi huu ni sehemu ya marekebisho ya dharura na ya lazima kwa Wajumbe 57 wa Serikali, ingawa wachambuzi wa Siasa wanasema ni mpango wa Rais kujiandaa na Uchaguzi Mkuu wa Desemba 2023.

====
Democratic Republic of Congo's President Felix Tshisekedi has appointed the country's former vice president Jean-Pierre Bemba, who was detained for over 10 years for war crimes, as the country's defence minister in a sweeping government reshuffle.

His appointment was part of an overhaul of the 57 members of government, which the president's spokesperson said was "urgent and necessary", in an announcement on Congo's national television late on Thursday. No further details were given.

The reshuffle, which was more extensive than observers had predicted, came ahead of an expected presidential election on Dec. 20, in which Tshisekedi is likely to seek a second term.

"This a deeply political shuffle," said Jason Stearns, Director of the Congo Research Group and Professor at Canada's Simon Fraser University.

Tshisekedi appointed Vital Kamerhe, his former chief of staff who was released from prison in Dec. 2021 following as embezzlement conviction, as economy minister.

Nicolas Kazadi was maintained as finance minister.

The appointments bring political heavyweights into the government, strengthening Tshisekedi's coalition ahead of elections, Stearns said.

"Key positions are given to senior politicians who have large constituencies to please but little expertise in their new ministries. Kamerhe is not an economist. Bemba was a rebel but has little formal military training," he said.

Bemba, a former rebel leader was arrested in 2008 by the International Criminal Court for war crimes and crimes against humanity committed by his troops in the Central African Republic between 2002 and 2003.

He was acquitted and released 10 years later after his conviction was reversed on appeal. He was however accused and convicted on lesser charges of witness tampering during the trial.

Kamerhe, an influential Congolese power broker, was sentenced to 20 years in prison in 2020 for embezzling nearly $50 million from a presidential economic programme. He denied the charges.

His sentence was reduced to 13 years on appeal the following year, however in June 2022, a higher court overturned the judgment.

REUTERS
 
Kiongozi wa waasi kapewa wizara ya ulinzi.

Yaani millitias wameona hawakumtosha sasa wamempa Millitary. National army. Dooh!!! Sijui ni influence ya nani hii..

Au ndio ile kishule shule mwanafunzi mtukutu mpe uongozi awe kiranja ...wenzake atawatuliza
 
bemba is back
 
Attachments

  • img_1_1679652181990.jpg
    img_1_1679652181990.jpg
    7.1 KB · Views: 4
Duh Bemba kapewa jeshi?akimpindua je?? Au anawaza waasi Hadi anashindwa kuamua??
 
L4WFOZBLEVK37MXSWIBCIZ4EQA.jpg
Walioteuliwa ni pamoja na Jean-Pierre Bemba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais kwenye Serikali ya #JosephKabila na kiongozi wa Waasi kuwa Waziri wa Ulinzi. Bemba aliwahi kushikiliwa na Mahakama ya Uhalifu wa Kivita (ICC) kwa miaka 10.

Mwingine ni Vital Kamerhe ambaye anakuwa Waziri wa Uchumi. Aliwahi kuwa Mkuu wa Wafanyakazi kwenye Serikali ya Tshisekedi na na aliwahi kufungwa jela miaka 20 mwaka 2020 kutokana na ubadhirifu wa Tsh. Bilioni 117 za Mpango wa Rais wa Uchumi.

Kwa mujibu wa Msemaji wa Rais, uteuzi huu ni sehemu ya marekebisho ya dharura na ya lazima kwa Wajumbe 57 wa Serikali, ingawa wachambuzi wa Siasa wanasema ni mpango wa Rais kujiandaa na Uchaguzi Mkuu wa Desemba 2023.

====
Democratic Republic of Congo's President Felix Tshisekedi has appointed the country's former vice president Jean-Pierre Bemba, who was detained for over 10 years for war crimes, as the country's defence minister in a sweeping government reshuffle.

His appointment was part of an overhaul of the 57 members of government, which the president's spokesperson said was "urgent and necessary", in an announcement on Congo's national television late on Thursday. No further details were given.

The reshuffle, which was more extensive than observers had predicted, came ahead of an expected presidential election on Dec. 20, in which Tshisekedi is likely to seek a second term.

"This a deeply political shuffle," said Jason Stearns, Director of the Congo Research Group and Professor at Canada's Simon Fraser University.

Tshisekedi appointed Vital Kamerhe, his former chief of staff who was released from prison in Dec. 2021 following as embezzlement conviction, as economy minister.

Nicolas Kazadi was maintained as finance minister.

The appointments bring political heavyweights into the government, strengthening Tshisekedi's coalition ahead of elections, Stearns said.

"Key positions are given to senior politicians who have large constituencies to please but little expertise in their new ministries. Kamerhe is not an economist. Bemba was a rebel but has little formal military training," he said.

Bemba, a former rebel leader was arrested in 2008 by the International Criminal Court for war crimes and crimes against humanity committed by his troops in the Central African Republic between 2002 and 2003.

He was acquitted and released 10 years later after his conviction was reversed on appeal. He was however accused and convicted on lesser charges of witness tampering during the trial.

Kamerhe, an influential Congolese power broker, was sentenced to 20 years in prison in 2020 for embezzling nearly $50 million from a presidential economic programme. He denied the charges.

His sentence was reduced to 13 years on appeal the following year, however in June 2022, a higher court overturned the judgment.

REUTERS
Tshekedi hasipo kuwa makini basi akae akijua kwamba ya Kabila Sr yatakuja kumkumba yeye hivi karibuni - sioni kama hilo Tshekedi analiona.
 
Hatari sana inaonekana wale ma war lords wanakaribia kushikilia nchi
Ndio hivyo mkuu, mimi sio mtume wala nabii lakini naona Tshekedi anako kwenda sio jamaa wanaweza kumtoa pumzi - akumbuke Kabila Jr bado ana ushawishi mkubwa Serikalini na jeshini.

Tshekedi hasifanye mchezo awatafute/kodi Wagner Group kutoka Urusi ili kuhimarisha usalama wake personal, vile vile kumaliza mgogoro wa Kivu kusini na kasikasini kwa njia ya vita na sio mazingumzo - hasiamini sana mawaziri ambao anawatehua hivi sasa huku akujua fika kwamba baadhi yao wana very close relatives kwenye nchi jirani - hayo ndio makosa Kabila Sr aliyo yafanya baadae wakaja kumugeuzia kibao, akauwawa kizembe sana sana.
 
Back
Top Bottom