PostGE2025 Rais tubadilishie Wakuu wa Mikoa, Wilaya, IGP na Mapolisi wahamishwe vituo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Mh Rais NATUMAI HUJAMBO na shikamoo!

MH RAIS Kwa Hali ya upepo tuliyonayo Tanzania bara nashauri tafadhali. Badilisha wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na wakurugenzi

MH RAIS Kuna walio tuumiza kabla ya uchaguzi tunapoendelea kiwaona maofisini tunashikwa na hasira.

MH RAIS tunaomba na IGP mpya na ATAKAYEingia afanye uhamisho wa askari polisi maana tuna askari tunakumbuka siku ya maandamano tuliwaona BARABARANI hata sisi ambao hatukuandamana ila tuliwaona kwa mitandao yaani kila tukilala tunawaona ndotoni
 
Chochote afanyacho Rais haramu ni haramu!
 
Too late
 
Kuhamishwa siyo suluhisho wanatakiwa wawe jela!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…