Mheshimiwa Rais na mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan,
kwa kuwa umeamua chini ya utawala wako kuhakikisha Jiji la Dar linakuwa na miundombinu ya uhakika na uthibitisho na kwa jinsi jiji lote lilivyosheni vifaa vya ujenzi wa barabara.
Kwa kuwa Morogoro Road ndio barabara kuu kwa nchi yetu tunaomba uwaagize Engineers wa TANROADS wakupatie mkakati unaonyesha ni kwa jinsi gani foleni eneo la Kimara Korogwe itaondolewa.
Nawasilisha