shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Huu ni mwaka wa 6 sasa tangu wafanyakazi wa umma tulazimishwe kununua hisa za vodacom kwa lengo la kupata gawio kila mwaka.
Lengo lilikuwa zuri ila ni miaka mitatu hatujapata gawio.
Mama Yetu Rais wetu Mpendwa sana tunaomba tusaidie turejeshewe hela zetu wengine tumeshastaafu kazi walau hizo hela zitusaidie kufanya mambo mengine ikiwemo kilomo ambacho tutapata faida kuliko kukaa tu kwa watu wachache kuzitumia kujilipa mishahara minono.
Ni mabilioni ya fedha yako mikononi mwao.
Tunaomba sana sana Mama na Rais wetu
We kama ni mkulima wa makongorosi huwezi kujua kilichowatokea wafanyakazi kuhusu hisa za voda wakati wa mwendazakeHakuna mfanyakazi wa umma wala mtu yeyote aliyelazimishwa.
Ulishauriwa kabisa uombe msaada kwa mtaalamu wako wa masuala ya fedha kabla ya kununua.
Ulifanya hivyo kwa hiari yako, usitafute wa kumlaumu.
Lengo la Jpm lilikua kumpunguzia nguvu za kiuchumi mtu flani aliyekua mmiliki kwa share nyingi vodacom"Tulazimishwe" - inawezekana mmepigwa na Vodacom ilikuwa gear tu
Tu-assume mimi ni mkulima; hao wafanyakazi wa umma hawaishi nasi?We kama ni mkulima wa makongorosi huwezi kujua kilichowatokea wafanyakazi kuhusu hisa za voda wakati wa mwendazake
Tulia na mumeo tuache sisi tuombe msaada
Elimu ya fedha ni ndogo sana barani afrika. Hivi mtu mwenye fincial education nzuri anaweza andika kitu kama hiki kweli?Huu ni mwaka wa 6 sasa tangu wafanyakazi wa umma tulazimishwe kununua hisa za vodacom kwa lengo la kupata gawio kila mwaka.
Lengo lilikuwa zuri ila ni miaka mitatu hatujapata gawio.
Mama Yetu Rais wetu Mpendwa sana tunaomba tusaidie turejeshewe hela zetu wengine tumeshastaafu kazi walau hizo hela zitusaidie kufanya mambo mengine ikiwemo kilomo ambacho tutapata faida kuliko kukaa tu kwa watu wachache kuzitumia kujilipa mishahara minono.
Ni mabilioni ya fedha yako mikononi mwao.
Tunaomba sana sana Mama na Rais wetu
Assumption yako hapo inahusiana na nini ktk hilo swala la hisa.Tu-assume mimi ni mkulima; hao wafanyakazi wa umma hawaishi nasi?
Hutolewa baada ya Net profitElimu ya fedha ni ndogo sana barani afrika. Hivi mtu mwenye fincial education nzuri anaweza andika kitu kama hiki kweli?
Je unajua jinsi gawio linavyotolewa kweli?
Halafu huyo jamaa alivyo mjanja akazitia sokoni hisa zake zoteLengo la Jpm lilikua kumpunguzia nguvu za kiuchumi mtu flani aliyekua mmiliki kwa share nyingi vodacom