Rais udsm tetea wanafunzi wenzio, acha kuwashitaki wafukuzwe

jamaaa fighter sana. Alipambana na watu wenye nguvu kwa kila kitu , Kwaakili yake hawezi kufanya ujinga huu ! Ama, mtoto wa mungu kawa shetani!
 
Wakuu, mimi nawasubiria waje huku kukanusha ama kukubali kuwa hii barua iliandikwa kwa uongozi wa chuo ama laa. Kwa rais aliyepewa nafasi ya kuwaongoza wanafunzi zaidi ya 15000 wa UDSM huku wengi waiamini kuwa ndio tumaini lao katika kuwatetea maslahi yao....Kwahili amefail. Ni aibu kwake
 
Ndiyo tatizo la kujifunzia siasa ya uongozi chuoni. Vijana wanakuwa wapumbavu kuliko.
 
udsm people zinapanga mapinduzi hasa waliokosa urais wakiongozwa na GIBSON GEORGE
 
this is very serious accusations. I trusted the guy not only because he won the majority votes, but he had convincing policies. However, the dude seems to be coward and mama's boy. These challenges are the ones which will measure his efficiency as a leader and a cabinet he leads.

He is such a disappointment in a way that his administration failed to disclose relevant information about how is govt runs, how the information flows, and of all, he failed to inform students on how the field allowance should be located out, leading students up to current day have no information, precise information on when and how the students will get their allowance.

Anyways i wish him all the best in SNITCHING, I bet he did not know this letter will leak...
 
Mara nyingi serikali za wanafunzi katika vyuo vingi duniani husimama kidete kwa ajili ya kutetea maslahi ya wanafunzi hata kama wakati mwingine yapo nje ya uwezo wa utawala wa chuo au hata serikali kuu kuyatimiza,

lakini kinachotokea UDSM ni kinyume chake kwani rais ameamua kuandika barua rasmi ambayo ni kwaajili ya kuwachukulia hatua kali wanafunzi ambao literary ndo waliomuweka madarakani.

Ukiwa kiongozi, ukaanza kupingwa na washauri wako wa karibu ambao ni baraza la mawaziri, watu uliotoka nao kitivo kimoja kama wabunge na hata raia wa kawaida...basi utawala wako ni MENE MENE, PERESI, TEKELI....Kama nitalazimika kusema hilo katika lugha ya kibiblia.

Uongozi wake umepimwa na kuonekana kuwa haufai, na hivyo utatupiliwa mbali.
 
Haya ndio maneno ya Naibu waziri wa mikopo William Charles juu ya barua inayodaiwa kuandikwa na Rais wa UDSM Filbert Nickson na kumuhusisha yeye na usaliti dhidi ya serikali.

Barua hii(iwe ya kubuni au ya kweli) inaivua nguo serikali..
1. Inaonesha kuwa Rais hakuwa makini kwenye selection ya cabinet members.
2. Inaonesha kuwa Rais hawaamini kabisa baadhi ya cabinet members.
3. Inaonesha Rais amepoteza ushawishi hata kwa watu aliowateua yeye mwenyewe.
4. Inaonesha baadhi ya cabinet member's hawana imani kabisa na Rais katika utendaji wake.
5. Inaonesha Rais ameshindwa kufanya kazi yake ya kisiasa na kiuongozi na sasa anaomba mamlaka za juu zimsaidie.
6. Inaonesha Rais haaminiki hata kwenye kitivo chake, mfano(barua inaoneshwa anapigwa na viongozi 5 kutoka kitivo chake)..
MTAZAMO WANGU JUU YA HILI..
@Rais anapaswa kusema neno(sio kwa mtu mmoja mmoja) juu ya hili ilo aweze kuuweka mzani sawa, lakini wakati anasema neno hilo azingatie mambo yafuatayo.
1. Meza kuu ya cabinet imewahi kutamka(si mara moja) kuwa 'kuna manaibu waziri watatu na waziri mmoja walishiriki kukwamisha bajeti.
2. Kuna watu waliitwa na kuhojiwa na ngazi mbalimbali juu ya hili(kupanga kupinga baketi) nikiwemo MIMI
3. Asilimia kubwa ya yale yaliyomo kwenye barua yanawiana na uhalisia wa mambo ulivyo..
Anyways huu ni ushauri tu unaweza kupokelewa au kukataliwa lakini wasiwasi wangu ni kuwa UKWELI UNA TABIA MBAYA SANA..
una tabia ya kurejea kwa GHADHABU na KUMWADHIBU aliyeupuuza.
cc PM.
cc Chief protocal
cc Vice President
cc President.

MY TAKE:This thing is getting serious
 
Poleni wana USDM wezangu, rais mbovu kama huyu hawezi kuongoza wasomi. Pigeni chini haraka sana.

Enzi zetu, tayari tungekuwa barabarani kwa ajili ya kumtoa. Mliopo hapo mnatakiwa mtuambie kama UDSM kimekuwa chuo cha kata. Haiwezekani mkakaa na kapi kama hilo.

Zitto mwenyewe alikuwa anatusaliti lakini sio kwa utaratibu huo. Shirt la kijani hilo lilopandikizwa na Mkandara mtakwisha hata wabengu.
 
Huyu mtu anaonesha ni mchanga mno kisiasa? Alishindaje? Au ndio alikuwa ana uafadhali wengine ni potelea mbali.

Kiukweli ni AIBU KWA WANA UDSM kuwa na Rais wa aina hii, bunge linashindwaje kumsguhulikia na kumng'oa!

Mtu anaomba wanafunzi wenzake wafukuzwe na utawala huyu ana akili kweli?
 
I am shocked by the command of english language portrayed by so called president of a university like UD. I hope this is some kind of letter written by someone else but if it is from him, our education is heading in very bad direction.
 
I am shocked by the command of english language portrayed by so called president of a university like UD. I hope this is some kind of letter written by someone else but if it is from him, our education is heading in very bad direction.

Would you please make use of some appropriate articles to make your text sound English too.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…