Juzi nimetumia hii SGR kwa mara ya kwanza kuenda Mombasa (County Train) na Kurudi Nairobi (Express Train) nimeipenda sana. Hii experience lazima uishuhudie mwenyewe ili uweze kuielezea. Wengine tulizoea vitu kama hivi kwenye nchi za watu kwa hio hili kuwepo EAC ni kitu kizuri sana.