Rais Uhuru apata namba tatu katika utendaji, Afrika

i dont believe this,Uhuru,M7 and JK in the list?..none of them deserves that..Kenya..Uhuru ana case the hague,security bado ni issue na inagharimu maisha ya wakenya wengi wasio na hatia...sijaona hatua mahsusi za serikali kwani kuna wengine wanahusishwa na hizi tuhuma wanatoka kwne jeshi lake,m7 it is obvious hafai kuwepo,JK....nchi imemuelemea tangu day 1 anaingia ofisin na anaondoka anaiacha nchi pabaya...suala la katiba ni changamoto kubwa aliyoshindwa na bado anashindwa kuisimamia sawa!
 

attending funeral ceremony...church....inaguration of hotel....meeting with ambassadors .....appreciating kenya sportmen n women...bla bla bla......showing no sign of performing president on his key duties of livelihood transformation, poverty eradication n wealth creation...
 

unataja JK afanye nn zaidi? waliopita walishindwa hata kusema TZ inahitaji katiba mpya...
 
He's the weakest of all past tz presidents......statements zake pale mjengoni zimetibua mchakato wa katiba!

chuki binafsi.....hizo....sasa alotibua mchakato wa katiba na aliyekataa hata kukubaki wazo la kuanzisha mchakato wa katiba mpya nan weakest???

ujinga ni wa wananchi kuchagua wabunge wasiojielewa...
 
Waafrika jambo likisemwa na mzungu wanashangilia sana......JK Nyerere
 
Na kilichompa hiyo nafasi ya kumi ni safari za kila siku vinginevyo asingepata kitu
 
Na kilichompa hiyo nafasi ya kumi ni safari za kila siku vinginevyo asingepata kitu

Jamaa naona mtachoka sana maana Uhuru hashikiki, walinzi wake wanalalamika jinsi imkuwa ngumu kukimbia naye kila siku.























 
Wa Kwetu anastahili ya Mwisho maana anaishi angani... Mtumbuaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…